Hatuko wavivu acheni historia

Dornatero

Member
Feb 26, 2012
15
8
akwenda kinyume na mitazamo hasi ya wavivu wengi nchini wasemao ati watanzania tu wavivu. Nadhani udahili wa ajira ndio wa kivivu kwa vile hawataznini unacho kichwani bali nani unamfahamu humo ndani. Tukipewa natasi tunaweza sie ndio asili ya busara za kiafrika na hekma ya kuzaliwa.
Narudia tena sie si wavivu, tupeni nafasi.
 
Back
Top Bottom