Hatua za Kumuondoa CAG madarakani kwa mujibu wa ibara 144 ya Katiba

Jiulize kwa nini iliwekwa wa Jumuiya ya Madola? Kwa nini isiseme majaji tu.

Checks and balances zinalindwa na katiba hapa.

Unang'ang'nia wa Tanzania kwa kuwa wao watapendelea? Wanapokea maagizo toka juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hata wachukuliwe Majaji toka China bado CAG swala la maadili litamuondoa kazini. Soma Ibara ya 132 na kanuni za maadili ya UTUMISHI WA UMMA na soma ibara ya 144 na vipengele vyake vyote. Msilete mihemko ya kisiasa kwenye hili.Hao majaji hawata hangaika kujua kama bunge ni Dhaifu au sio dhaifu na hawata mwambia CAG athibitishe, SWALA NINI MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA YANASEMA?Ni sahihi kiongozi wa umma kuisema taasisi nyingine vibaya hadharani?Hapo sasa watarudi kwenye Katiba ya maadili ya viongoz ibara 132 na kanuni zake. Ukisoma kanuni ya 12 utaona kabisa CAG hana chake.

Ukimya huu wa jpm sio kwamba hawezi mtumbua CAG swala ni NINI MTAZAMO WA WANANCHI KATIKA HILI JAMBO. Ikatokea jpm kamsimamisha kazi CAG na atakua yuko sahihi kabisa ila watu wazee wa siasa UCHWARA WATAKUAMBIA jpm hapendi kukosolewa mara anaficha madudu yake,ni fisadi nk. Hiki ndio kinambeba CAG kwa sasa lkn sio vingine. CAG anang'oka vizuri tu.View attachment AHADI_ZA_UADILIFU-VIONGOZI_2-1_300.pdf
Screenshot_20190415-220144_Drive.jpeg

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Sasa watashindwa nini kubaini kama kakiuka maadili ya uongozi?Na kabla hajaanza kuchunguzwa kuna kifungu cha tano ambacho Rais atakitumia kumsimamisha kazi. Huoni hata kama CAG atachunguzwa mwaka mzima bado hatakua kwenye kiti chake na wakati huohuo kuna mtu anakaimu?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Anae kaimu hawez kukaimu zaid ya miez sita. Kukaim ni miez sita mwisho according to sheria za kazi. Unasema majaji watashindwa nn kubaini? Sio ishu ya kushindwa ni ishu ya uchunguzi wenyewe. Acha wa chunguze waje na conclusion zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio majaji watatu si lazima ni nusu ya wajumbe kama raisi atetua wajumbe wa 4 basi wawili ndio wanatoka jumuiya ya madola.....wanafanyaje kazi wageni peke yao
Msisitizo upo hapo: bila tume ya majaji wa tatu wa Jumuiya ya Madola kumchunguza kwanza.

Kwa mujibu wa katiba, hakuna wa kutoa CAG kwa visa hivi.

Kufanya hivyo itakuwa tangazo rasmi la wazi kuwa kuna UDIKTETA Tanzania. View attachment 1072457

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majaji watatu wa jumuiya ya madola na si majaji watatu wa Tanzania soma na uelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafahamu ni wa jumuiya ya madola ,,issue iko palepale ,mchakato wa kuwapta,+uadilifu wao,hicho ndo kitu cha msingi,kutoka jumuiya ya madola hakuhalalishi uadilifu wao,

Nitashangaa ikatokea pengine tukafika huko ,yakaja matokeo ambayo hukuyatarajia kama utakaa kimya kisa ni wa jumuiya ya madola
 
Anae kaimu hawez kukaimu zaid ya miez sita. Kukaim ni miez sita mwisho according to sheria za kazi. Unasema majaji watashindwa nn kubaini? Sio ishu ya kushindwa ni ishu ya uchunguzi wenyewe. Acha wa chunguze waje na conclusion zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ujue hakuna hata cha kuchunguza hapo kwa Upande wa MAADILI. Ingekua rushwa sawa.Bunge litatoa taarifa yake kutoka kamati ya maadili jinsi alivyokuwa anajibu ovyo kwa Kamati ya uchunguz. Speech zake zote pamoja na vifungu vya SHERIA za maadili ya UTUMISHI WA UMMA. Hakuna cha mchakato mrefu wala nini. MAADILI ni kitu kidogo sana lkn ni MUHIMU MNO kwa viongoz na ndio maana kanuni na SHERIA zikatungwa. Huyo Assad hata kwa Mimi to niliyesoma vicourse vichache vya management chuo naweza Amua kesi yake na kutoa majibu SAHIHI.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Anae kaimu hawez kukaimu zaid ya miez sita. Kukaim ni miez sita mwisho according to sheria za kazi. Unasema majaji watashindwa nn kubaini? Sio ishu ya kushindwa ni ishu ya uchunguzi wenyewe. Acha wa chunguze waje na conclusion zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kama tu Rais atahitaji uchunguzi. Sasa. Sasa hapa uchunguzi haupo. Amekiuka masharti ya maadili ya umma wazi wazi.
 
" tabia mbaya ni ipi" maana inaweza kuwa kokoro. Itabidi manaji wafafanue iki mtu asionewe
 
Hiyo ni kama tu Rais atahitaji uchunguzi. Sasa. Sasa hapa uchunguzi haupo. Amekiuka masharti ya maadili ya umma wazi wazi.
Hatua ya kuondolewa madarakani ni lazima ipite kwenye tume ya majaji. Soma maandishi yaliyopigiwa mstari.
IMG_20190415_220111.jpeg

Kifungu cha 4. Kinasema

(4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara masema uchunguzi mara mnasema hakuna uchunguzi. Hii ishu mnaikuza sana ila kiukweli ni nyepesi. Kosa gani ambalo CAG kafanya?
Ndio ujue hakuna hata cha kuchunguza hapo kwa Upande wa MAADILI. Ingekua rushwa sawa.Bunge litatoa taarifa yake kutoka kamati ya maadili jinsi alivyokuwa anajibu ovyo kwa Kamati ya uchunguz. Speech zake zote pamoja na vifungu vya SHERIA za maadili ya UTUMISHI WA UMMA. Hakuna cha mchakato mrefu wala nini. MAADILI ni kitu kidogo sana lkn ni MUHIMU MNO kwa viongoz na ndio maana kanuni na SHERIA zikatungwa. Huyo Assad hata kwa Mimi to niliyesoma vicourse vichache vya management chuo naweza Amua kesi yake na kutoa majibu SAHIHI.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine huwa napatwa na hasira sana, watu kama hawa ndio wapiga kura afu ni wengi
Kwa hii comment mkuu nadhani una shida kwenye medula oblangata yako. Kwa sisi ambao ni raia wa kawaida tu hatuna vyama je? Sasa labda nikuulize, kwanza uliskiliza kwa makini mahojiano ya CAG yalivyopelekea kutoa ile statement? Unaijua kazi nyingine kubwa ya bunge kikatiba ukiacha kutunga sheria? Unajua umuhimu wa ofisi ya CAG kwenye uendeshwaji na nchi?

Tafakari mambo kwa akili huru, kama mzalendo, kma mtu mweledi. Mitazamo yako ya kimwinyi hiyo eti "CAG anakosa adabu" ndo inapelekea nchi hii kuendela kubaki hapo ilipo. Palipo na ukweli usemwe, tusilambane miguu wakati inanuka eboo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wasiwasi kuwa ndugai haisomagi katiba! Na au katiba haifuatwi na kulindwa katika uongozi wake!

Yambidi ajitafakari kwani raia wanaweza kudai mazingatio ya katiba waliyoapa kuilinda na ukawa mwanzo wa kudai katiba mpya! Anajisahau sana na kudhani watanzania ni wajinga wanaopenda kuburuzwa!

Ushauri kwa wabunge wa ccm kusimama imara na kumpinga huyu spika ili akiachie kiti kwani chaguzi zijazo zinaweza zisiwe na matokeo wanayoyatarajia!
Yule twamjua vyema ni mbumbumbu na simbilisi wa katiba period!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom