QUALITY
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 853
- 115
WanaJF,
Kwa taarifa zilizotufikia sasa, ni kwamba Wanyarwanda walihamishia Ng'ombe wao Bushubi (Ngara) na wanalisha mashamba ya wenyeji kwa jeuri kubwa. Inaonekana uongozi wa serikali za vijiji na wilaya kama kuna kitu wanaficha. Kwa wale wanaofuatilia taarifa, iliwahi kulipotiwa kuwa DC wa Ngara ameruhusu wanyarwanda kuingiza mifugo nchini. Katika hatua hiyo, DC huyo alimbambikia kesi mwandishi wa ITV aliyeandika habari hiyo. Mpaka leo kesi inaendelea ...
Mpaka jana taarifa ni kwamba imezuka vita kubwa (Civil War) kati ya Wafugaji hao na Wakulima wa Bushubi
1. Inasemekana jana 31/5/2011 huko Mkalinzi- Mganza waliuawa / walijeruhiwa vibaya watu 8
2. Leo 1/6/2011 huko Keza Mlonzi nako wameuawa / wamejeruhiwa watu 6
Uongozi a namna hii, hauna tija. Ngoja tusikie kama Radio Kwizera watatangaza chochote. Walioko karibu na tukio, mtujuze tafadhari.