Sasa unaishi na fuska halafu unauliza hatua za kuchukuwa?Wengi wengi tunaishi na wenza wetu iwe kwenye mahusiano ama ndoa, na hakuna mwenye kukiupuka hiki kikombe.
Mara paapi unaingia na ndani unamfumania mke au mume, ipi hatua ya kwanza utakayochukua...,?