Hatimaye uchunguzi waanza wa ile sumu toka kuleee

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Hatimaye serikali imeanza kale ka uchunguzi makini kuhusu
kale kasumu kaliko wekwa mkononi na kushikishwa mh mwaki
na kuanza kuto cement mwilini.
Tusubiri tupate more details from the source.
 
wakati tunasubiri updates, patakuwa na uthubutu wa ka-umakini kweli, kumbuka danadana walizopiga kabla kauchungudhi kuandha!!!
 
Huo ni uchunguzi wa kinafiki...walisita awali sasaivi wanafanya kinafiki ili kufunika kombe coz hata majibu yake yatakuwa ya kupikwa...wasanii hawa.
 
waziri wa mambo ya ndani kasema hata kama wakipata ukweli hawatatoa taarifa hadharani.SASA KWA NINI WANAFUJA FEDHA ZA WANANCHI KUCHUNGUZA KITU AMBACHO HAKITATOA FAIDA KWA JAMII,kwani hata wakipata ukweli hawatachukua hatua zozote.TENA mbona wziri alisema kama mh SITA kama ana ushahidi autoe.hata wiki haijaisha wanafanya uchunguzi kwani wataanzia wapi wakati hawana data zozote,huu ni usanii tu.taarifa wanazo.
 
Huyu Mwema sijui yukoje, Mwaky alishaandika barua long time sana kwamba anawindwa wakasema hamna kitu ka hicho, akapelekwa India waksema hamna kitu leo ndio wanafanya uchunguzi, Serikali yetu siunajua inapenda kufanya postmortum, walisubiri afe kwanza wafanye postmortum, then watudanganye tena hamna kipya kabisa.
Kazi ipo
 
lowassa hahusiki hata kidogo jamani tuwe na subira tume si imeanza uchunguzi tutajua tu then mtaelewa tz ni zaidi ya tuijuavyo.
 
Hatimaye serikali imeanza kale ka uchunguzi makini kuhusu
kale kasumu kaliko wekwa mkononi na kushikishwa mh mwaki
na kuanza kuto cement mwilini.
Tusubiri tupate more details from the source.
Wachunguzi wanatokea nchi gani? Kama ni hapa hapa Bongo andikeni tumeliwa. Je ule Uchunguzi wa Polisi waliotaka Kumwekea Madawa ya Kulevya Mtoto wa Mengi uliishia wapi? Tanzania bila Vituko, haiwezekani!
 
Hapa napata tabu kidogo, what exactly do they want to establish?

1). Je ni kweli alilishwa sumu?
2). Kama 1 ni kweli nani alimlisha?

Kama wanachotaka ni namba 1, hawana haja ya kuangaika, waende wizarani kwa Blandina. Na kama namba1 si kweli basi hamna haja ya kwenda namba 2.

Kama wataenda namba 2 na kusema hawatoa matokeo ya uchunguzi basi tusitegemee haki kutendeka au kutakuwa na kesi ya siri?
 
haya yakakuwa kama ya ka uchunguzi wa Balali baadaye tunaambiwa kafa kwa ngoma na kuzikwa siku hiyo hiyo
 
Usanii mtupu. Walikuwa wap had mtu analishwa sumu?serikali hii haukna kuwajibshana. Ata waziri mponda kajinyea kuhusu mgomo wa madr
 
Iyo ela ambayo watatumia kuchunguza ni kheri ingetumika kununua madawati!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom