hatimaye serikali yaridhia kuwarudisha madaktari (interns)waliofukuzwa muhimbili

na bado...lazima wawajibike kwa uzembe na upumbavu waliofanya ambao umegharimu maisha ya watanzania waliowachagua
 
aluta kontinyu mpaka kieleweke...... Nyoni na wenzake wakawe mabalozi maana MKUBWA hatowatupa watu wake....
 
imeniuma sana kwa uzembe wa serikali kutowasikiza madaktari imegarimu
maisha ya binti wa mfanyakazi mwenzetu na ndie alikuwa kipenzi chake
amefariki leo asubuhi kwa kukosa matibabu
mama wa watu kazirai hata alipoamka haongei na mtu.
mpe pole kwa niaba yetu, kwa kweli inasikitisha na hii nikutokana viongozi wetu kuona kwamba wao wana stahili zaidi ya wengine
 
kama watz sasa hivi hawataamka na munkari basi tena, yaani nzugu setu wanakufa sirikali imetulia tu!
 
Back
Top Bottom