Hatimaye RADIO E-FM waanza kurusha TV station yao

Kwelii jana ndo nmeanza kuiona kwenye kingamuzi cha startimes iko clear na quality sana....japo sikujua kama ni washirika wa Efm
 
Wajitahidi washindane nao maana hawa jamaa tayari wana mtaji watu, eneo, fedha, exposure na mtaji serikali, wana makampuni na matamasha makubwa kama Fiesta nk, muhimu wazidishe ufanisi
 
Kwani Star Tv na TBC si zinawatosha?! Acheni habari zenu bhana; nyanya Kariakoo zishapanda bei kwa hayo mambo yenu kupenda kuangalia TV za mjini badala ya tv zinazohamasisha kilimo bora! Tunawategemea mjue; ohoo!

Daah, mbavu zangu mie !! Kilimo oyeee
 
Kwani Star Tv na TBC si zinawatosha?! Acheni habari zenu bhana; nyanya Kariakoo zishapanda bei kwa hayo mambo yenu kupenda kuangalia TV za mjini badala ya tv zinazohamasisha kilimo bora! Tunawategemea mjue; ohoo!
Dah uwe na huruma kidogo
 
ndugu acheni hizo, nendeni mkalime na kuvua samaki. huku mazao yamepanda bei ninyi mnakaa kuangalia singeli kwenye tv acheni mambo hayo. tbc si ipo? star tv is ipo? hizo zinzwatosha sana huko mikoani. limeni tusipungukiwe chakula sisi wa mjini na mkija huku muwe mnakuja na vitu mikononi siyo mnakuja na korodani zenu tu.

Wakuu Huku Butimba kwenye Dikoda ya AZAMU mbona hatukaoni hako kachaneli!!!
 
ndugu acheni hizo, nendeni mkalime na kuvua samaki. huku mazao yamepanda bei ninyi mnakaa kuangalia singeli kwenye tv acheni mambo hayo. tbc si ipo? star tv is ipo? hizo zinzwatosha sana huko mikoani. limeni tusipungukiwe chakula sisi wa mjini na mkija huku muwe mnakuja na vitu mikononi siyo mnakuja na korodani zenu tu.
HA HA HA
 
Bhebhe nang'o punguza ukali wa maneno mkuu wangu!!!
 
Usijal ndugu yangu ni utani tu wa kuwatania wakulima ninyi mlioko mikoani. Ha ha ha.... Na ukisoma vizuri utagundua nimetumia maneno lain kabisa wala si makali nimetumia tafsida

Bhebhe nang'o punguza ukali wa maneno mkuu wangu!!!
 
Kwa hiyo kama bilioni 1 kwako ndio nyingi, unadhani ndio kwa kila mtu!?
Ni kichaa pekee yake anayeweza kuamini efm hii ya juzi iko financially stable kuizid clouds, na ni kichaa pekee yake anayeamini Dj majizo anaweza kua na mpunga kuzid kusaga.
 
Back
Top Bottom