Hatimaye orodha ya waliopata ajira za Afya yatoka

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,605
549
Kwa kipindi kirefu kulikuwa na sintofahamu kuhusu ni lini orodha ya watu waliopata ajira mpya za serikali katika kada ya Afya zitatoka.
Hatimaye siku ya leo serikali kupitia wizara ya Afya wametoa orodha ya waajiriwa wapya kwa mwaka 2012/2013 zikiwa za madaktari, wauguzi, maafisa tabibu nk.
Orodha iko kwenye tovuti ya wizara ya Afya www.moh.go.tz

Bahati mbaya sana imekuwa ni kilio kwa watu wengi waliokuwa wakizisubiri kwani ni wachache katika wengi ndio wamepata.

Nafikiri usumbufu wa watu kuja kuuliza uliza tetesi humu JF utapungua sasa.

*Nawapa pongezi wote waliopata ajira hizo na sasa nendeni mkawahudumie watanzania wanyonge huku mkiwapa hasama za kupambana na mkoloni mweusi.
Pia nawatia moyo wote waliokosa ajira hizo na sasa ni kuendelea na mapambano katika vita ya kumtokomeza mkoloni mweusi popote pale. Aluta continua!!!
 
jamani mbona mi naona majina ya maafisa afya mazingira tu? kwan mchanganuo upoje? na wale walio omba kama wauguzi ndo kusema hakuna?
 
ni kweli leo wametoa majina lakini cha kushangaza na aibu nyingine kwa utendaji wa wizara zetu ni kwamba kuna watu wengi bado wanafanya internship means bado wako kwenye mafunzo ya vitendo wamepangiwa kazi wakati watu hawa hawajasajiliwa so are not eligble to practice....na wengine wamepangwa ngazi mfano ya diploma huku mtu ni degree holder...wengi ambao hawajapata nikiwemo mimi ni watu ambao tayari wako registered...ninachowaza hivi ni kweli walisoma application ya kila muombaji au ilikuwaje?ni aibu kubwa sana kwa wizara kwa hili sijaumia kukosa kazi but nimeumia umakini wa hawa watu kuchambua vigezo kupitia application na wakawapanga ambao hata vigezo vinavyotakiwa hawana still nafikiria sipati jibu...it will take so long to get there kwa utendaji huu.
 
jamani mbona mi naona majina ya maafisa afya mazingira tu? kwan mchanganuo upoje? na wale walio omba kama wauguzi ndo kusema hakuna?
Ukishafungua lile tangazo usi click zile options mbili pale juu wewe search jina lako kwenye ile employee search au kama unahisi umepangiwa wapi andika jina la employment centre majina yote yapo
 
Ingia sehemu iloandikwa ALL.utakuta fani mbalimbali.chagua fani yako...hivi km mtu umepangwa mkpa fulani na wewe hutaki huo mkoa unataka mwingine ila si dar...kubadilisha inawezekana..narudia tena si kuja dar bali mkoa mwingine...heelp
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom