Hatimaye nimevua gamba na kuvaa gwanda

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Hatimaye tar 26/05/2012 pale Jangwani nilivua gamba na kuvaa gwanda, licha ya kuwa niliichukia ccm toka utotoni lakini najihesabu kuwa nimevua gamba kwa sababu sifuatazo.

1) kwamba niliayependa mabadiliko lakini sikuwa sehemu au mwanachama wa mabadiliko, na badala yake nilikuwa shabiki tuu, hivyo nimevua gamba la ushabiki na kuvaa gwanda la UANACHAMA.

2)Nimechelewa kuwa MWANACHAMA, hivyo kuchelewa kwangu na kwa wengine kumechelewesha mabadiliko. hivyo nimevua gamba la kuchelewesha mabadiliko na kuvaa gwanda la kuharakisha mabadiliko.

MAONI. Ni vyema wanaopenda mabadiliko ya kweli ya Nchi hii wakawa sehemu ya mabadiliko kuliko kuwa mashabiki kama hawana vizuizi vyovyote vya msingi vya kuwazuia.

FREEDOM IS COMING TOMORROW.
 
Pole sana lakini hata hivyo hujachelewa sana,lengo liwe 1 tu ni mwondoa mkoloni mweusi tii kwenye taifa letu.
 
Back
Top Bottom