Hatimaye Nape Akata Tamaa. Amkatalia Magufuli Ziara za Dar

Abdallah Bulembo nionavyo atalamba dume kwa mazuri anayoyafanya na ICC itamuhukumu kwa mabaya yake.Kubali ukatae...anakwenda Ulaya na sijui kama ataweza ongea nao kama vile wa Kenya.

mkuu ile lugha ni ngumu kwa upande wa pili sijui itakuwaje? Mkandala atahusika
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa katibu wa itkadi na uenezi wa CCM anayegombea jimbo la Mtama. Hàli ya kukataliwa na mahudhurio hafifu ya mikutano yake na kuzomewa imemkosesha matumaini ya kuchukua jimbo.

Aliombwa na Magufuli kuambatana naye ziara ya DSM akamchomolea angalau abaki kuokoa hali aliyonayo kuficha aibu. Mtama wanasema hawawezi kuletewa mbunge wa kuchaguliwa na mtu mfukoni.

Mgombea wa upinzani anazidi kumtesa Nape kwa kupata mafuriko ya kufa mtu na mapokezi ya balaa. Aibu inamkuta Nape Jumapili na hakuna namna ya kuokoa jahazi tena.
That guy who competing with Nape is also known as Messi
 
Dua la kuku hiloo...NAPE ndio mtaji wetu na daima anasonga mbele...sibiri atakavyo washangaza enyi wapika na wapakua MAJUNGU wa UKIWA.
 
siku zimefika,,,siku kama ya leo next wk tutakua tunaongea habar nyingine kabisa
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa katibu wa itkadi na uenezi wa CCM anayegombea jimbo la Mtama. Hàli ya kukataliwa na mahudhurio hafifu ya mikutano yake na kuzomewa imemkosesha matumaini ya kuchukua jimbo.

Aliombwa na Magufuli kuambatana naye ziara ya DSM akamchomolea angalau abaki kuokoa hali aliyonayo kuficha aibu. Mtama wanasema hawawezi kuletewa mbunge wa kuchaguliwa na mtu mfukoni.

Mgombea wa upinzani anazidi kumtesa Nape kwa kupata mafuriko ya kufa mtu na mapokezi ya balaa. Aibu inamkuta Nape Jumapili na hakuna namna ya kuokoa jahazi tena.

Duuuuhh!!! SWAFI Saana, Maana Jamaa Aona TANZANIA Ni Kwa AJILI Yao Wao Tu!! Wengine WOOTE Ni Malofa Na Wapumbavu!!! Wanamtama Mpigeni Chini Ili Ajifunze Adabu Na Staha!! Na Wengine WOOTE, Wajue Ukipewa Nafasi Ya Kuongoza WATU Au Taasisi, Lazima Uwe Na HESHIMA!!! Sio DHARAU, KIBULI, KUJIKWEZA Na KUJIONA MUNGU MTU!!
 
Dua la kuku hiloo...NAPE ndio mtaji wetu na daima anasonga mbele...sibiri atakavyo washangaza enyi wapika na wapakua MAJUNGU wa UKIWA.

Ww Unaishi Kijiji Gani Huku Mtama!!! Kama Unasema Vitu Ambavyo Hauvijui Kaa Kimyaa!! MUULIZENI Membe Awape Taarifa Za Mtama!!! Walidhani Walichokifanya Ktk Mchakato Wa Kumpata Magufuli, Basi Wakajua Na Yeye Atapenya Vivyo Hivyo!!! AIBU Yake J 2 Mapema!! Mtama Jembe Lao SULEIMAN MATHEW Mzawa Na Hata WAZAZI Wake Wako JIMBONI Hapo!!! Labda Aje Kugombea Jimbo La LUMUMBA!!!
 
Back
Top Bottom