Wee acha tu mkuu. Hakika chadema hawakukosea kuanzisha kaulimbiu hiyo (nguvu ya umma)Bado Mkwere. Usipime peoples power
Mtaishia kutishia tu, mkithubutu tunauwa watatu kama kuku halafu mnaanza kumbwela
Mkuu wee acha tu! Hakuna kinachoshindikana chini ya jua.kwa kweli ukiamua lake hakuna kinachozuia