Hatimaye Mindi Kasiga aenda kuula Washington Michuzi blog yachomoa picha za tukio baada ya kustuliwa

Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,318
401
Huyu dada Kwa mujibu wa Issa michuzi ameonekana akifanya part ya kuagwa kwenda marekani kufanya kazi ubalozi wetu uliopo huko.Waheshimiwa kibao wameonekana among of them Hon lukuvi,Nchimbi.Mwenye wasifu Wa huyu dada embu atusaidie tumjue hasa ni nani huyu mtu.
 
Itakuwa ndıyo kaanza leo labda. Sı kıla kıtu kına sıku ya kwanza!
 
Bongo mtu yeyote anaweza kuwa celebrity bila kujali anachofanya. . .
 
Ni mtoto w adada yake na mama Mkapa, alipewa kazi ofisi ya mawasiliano ya Ikulu wakati huo ikiwa headed na balozi Kalage, mtoto wa ubatizo wa Rais Benjamin Mkapa, mambo ya kuwa self made and achivers si ya kweli, ni kubebana kulikopita mipaka yote, tunasubiri Tripolitan kwa hamu sana sana sana, tena napenda kumpa ujumbe huyu rais wenu, kuna watu wamesomea na kusotea kazi za diplomasia kwa miaka chungu nzima ni watanzania wenzetu akome kabisa kuzima ndoto zao kw akutumia kodi zetu, kama anataka kutoa sadaka kwa washikaji zake awatume kutumia mshahara wake asiougusa maana tumesikia hata suti anahongwa. na sisi tuache kulalamika tu hebu tuanza kumuonyesha kwa vitendo, 2012 ni year of comeback, go go go watanzania tuache uoga
 
mindi.jpg



Blog ya Michuzi jana ilitoa picha ya tukio la Mindi Kasiga kuagwa akijiandaa kwenda kufanya kazi kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Washington. Ghafla picha zile zilichomolewa toka kwenye wavuti. Wengi wanashangaa ni kwanini wahusika walifanya hivyo. Je ni kutokana Mindi kuwa mdogo wake Rahma Kharoos Kasiga anayesemekana ni nyumba ndogo ya bwana mkubwa au ile haya ya sherehe hiyo kuhdhuriwa na Adam Gile ambaye hatuna uhakika kama ana uhusiano na akina Gile wa Richmond? Je sababu ni kutotaka watanzania wasijue jinsi watu wanavyohudumiana na kupendeleana mchana kweupe?
 
Je ni kutokana Mindi kuwa mdogo wake Rahma Kharoos Kasiga anayesemekana ni nyumba ndogo ya bwana mkubwa au ile haya ya sherehe hiyo kuhdhuriwa na Adam Gile ambaye hatuna uhakika kama ana uhusiano na akina Gile wa Richmond?
Mhn!

Maybe all of the above...

Ama kutokana na mijadala ambayo ishaanzishwa humu na kina Hofstede, pengine ule uliopo jamii intelligence unaokwenda kwa heading yenye kuulizia file lake, kwenye sherehe ya kumuaga na kumpongeza kabla hajaenda marekani, alikuwepo Nchimbi na mawaziri wengine.

Or else wamejishtukia kuwa kumbe soo bado halijaisha, wanakula tu na wamesahau kunawa, nothing else.
 
Je ni kwanini wasiwape hizi kazi Watanzania wanaoishi USA badala ya kuleta watu kutoka Tanzania ambao wengi wanachua miaka mingi sana kuzoea utamaduni. Kila siku kuna malalamiko ya huduma kwasababu watu wanaofanya kazi hawajazoe mazingira. Mimi kwa mawazo yangu hakuna haja ya Tanzania kuajiri watu kutoka Tanzania kwenye shughuli za ubalozi kuna watu wengi sana USA na nchi nyingine ambao wangeweza kufanya hizo kazi na wengi wao hawahitaji kulipiwa vitu kama vyumba n.k maana ni wenyeji lakini ni wa Tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom