Hatimaye kaanza kazi rasmi?

Ndenji five

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
1,985
3,083
Baada ya kuishiwa mbinu, ikabidi kikao cha dharura kiitishwe nani ata play part hiyi nafasi hatimaye wakazama front page, wasomi nguli tuliliona hilo kabla na tokea anatangazwa kurejea nchi ya ahadi, hatimae kaanza kazi rasmi, fungeni mkanda maana huyu mwamba ana kila aina za udikteta, na ndio silaha ya mwisho, iliyokuwa ikitegemewa kwenye utawala, soon tutashuhudia mengi, wakuelewa tumeelewa tusio elewa tungoje matokeo, ya kazi za huyu mwamba na hanaga masihara kabisa je mnamjua ni nani?
 
20230814_100328.jpg
 
Wasomi nguli tuliliona hilo kabla na tokea anatangazwa kurejea nchi ya ahadi, hatimae kaanza kazi rasmi, fungeni mkanda maana huyu mwamba ana kila aina za udikteta, na ndio siraha ya mwisho, iliyokuwa ikitegemewa kwenye utawala, soon tutashuhudia mengi. Je mnamjua ni nani?
Hatimae-hatimaye
Siraha-Silaha

Unajiita msomi nguli ila hata kuandika lugha yako tu kwa ufasaha hujui!
 
Hakuna Rais atavumilia siasa za hovyo za CHADEMA,

Rais Samia endelea kuchapa kazi ,, Kama watu Wana maoni ya kuboresha serikali inayasikia na itayafanyia kazi lakini wanaotaka kuipangia serikali nin ifanye na nini isifanye watasubir Sana,


Serikali inasimamiwa na Bunge tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom