Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,770
- 10,660
Haya mwana uchumi wetu, mfano bomba hilo lingepitishwa Kenya badala ya Tz, tungepata faida na hasara zipi? Vipi likipitishwa Tanzania, kuna faida na hasara zipi?Huu Ni Ujinga Wa hali Ya Juu, Rais Mseven ameona kwamba Kenya tayari imegundua Mafuta yake ardhini, hivyo akapiga hesabu za haraka akaona aweke Bomba hili kuanzia Tanzania-Tanga kama danganya toto, kumbuka Uganda nayo imegundua mafuta, sasa mahesabu ya Mseven ni kwamba, mara tu uzalishaji utakapoanza Uganda, bomba hilo hilo pia litumike kusambaza mafuta yake Tanzania na kutuuzia, hivyo Uganda ndo itapata faida, maana Tutanunua mafuta kutoka kwake, vile vile Tutalipia hilo Bomba lake, hivyo wataalamu wa Uganda, kimahesabu ni kwamba watakuwa wameipiku Kenya au kuiwahi kwa kuteka soko la Tanzania.