Hatimaye CHADEMA wakubali kusitisha mikutano yao mkoani Iringa hadi kukamilika kwa zoez la sensa

said kikaa

Senior Member
Aug 7, 2012
108
23
Akizungumza na radio one mara baada ya kikao kilichoshirikisha pande mbili, CHADEMA na jeshi la polisi na kuudhuriwa na IGP Said Mwema, kamanda wa polisi mkoan Iringa Michael Kamuhanda , DK.SLAA na viongoz wenzake.

DK. SLAA amesema wamekubaliana kusitisha mikutano yao pamoja na kumalizika zoezi la sensa ili waeze kushiriki katika msiba wa mwandishi wa habari wa Chanel Ten.

Dk. Slaa amesema wamekubaliana kimaandishi kuepuka kigeugeu cha jeshi hilo la polisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom