Hatimaye CCM sikivu inajivua gamba

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Tuliisema sana hatuna budi kuipongeza pia kwa usikivu.

CCM imeamua kujichuna ngozi ilimradi tu Magamba yaliongangania mwilini yaondoke.

Imeanza na Gamba la kichwani na sasa inaelekea mkiani.

Baada ya hapo tutegemee ushindi wa urais kwa mara nyingine tena.

Hofu ni kwa wale wanaotaka kuokota magamba na kujibandika mwilini haieleweki ni kwa mantiki gani hasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
CCM yenyewe ni gamba itajivuaje sasa gamba?? Ni sawa na kusema Samaki wapo kwenye mikakati wa kujikausha maji wawe wakavu
 
CCM yenyewe ni gamba itajivuaje sasa gamba?? Ni sawa na kusema Samaki wapo kwenye mikakati wa kujikausha maji wawe wakavu

Sio lazima uchangie kama hujui.
Umeshafanya application ya chuo??
 
Jiwe walilokataa Wajenzi, Litakuwa Jiwe Kuu na Nyumba Itasimama Kwa Jiwe Hilo. CCM Tulieni Mnyolewe.
 
Umeshapply HELSB??

Akili yako imegota kwenye Mikopo. Huamini kama unaweza kuwa na shahada bila ya ku apply HELSB? Ndo mana mnaona maisha hakuna bila ya kujipendekeza kwa watawala. MTAJI wa CCM ni Maskini kama wewe
 
Akili yako imegota kwenye Mikopo. Huamini kama unaweza kuwa na shahada bila ya ku apply HELSB? Ndo mana mnaona maisha hakuna bila ya kujipendekeza kwa watawala. MTAJI wa CCM ni Maskini kama wewe

Nilikuwa nakukumbusha tu wakubwa wanapojadiliana tulia usome usikurupuke.
 
jingalao

Huu ni mtizamo sahihi kabisa. Huu ni ukweli wa kutisha. Utawasumbua wengi. Lakini Hakika hili ndio jibu.
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima uchangie kama hujui.
Umeshafanya application ya chuo??
Mkuu kama umeleta mada jamvini kuwa mpole na jaribu kujibu hoja kwa hoja,vinginevyo huna haja ya kuleta mada!

Kama CCM ni gamba inawezaje kujivua gamba?ndani ya CCM kuna mafisadi kibao,lakini mbaka leo hakuna aliyepelekwa Mahakamani,kwa mfano kama Lowassa ni Fisadi kwanini mpaka leo hajafikishwa Mahakamani ilihali CCM ni chama dola?
 
Tumia akili na ufahamu wako vizuri. Tafakari nyoka anajivuaje gamba.?

Sasa Jitambue

Lowassa kasifiwa sana na Mwenyekiti wako wa Taifa kwenye Hotuba ya kulivunja Bunge kwa uchapa kazi, sasa wewe na Mwenyekiti wako nani mnafiki? Gamba huwa linasifiwa kwa uchapa kazi? UNAFIKI ni Ibada muhimu kwenye dini ya Chama chenu?
 
Ndio...amekatwa kama sehemu ya gamba.

Uko sahihi. Lowasa ndio "Core" Shina lililokuwa limeshindikana. Baada ya hapo ... Chama Kinarudia Misingi.

Lowassa gamba ...Achukuliwe na Hao vipofu ukawa. Atawafanya kitu kibaya ... watajuta ... na kuipongeza CCM kuona mbali.

Lowassa nenda ... nenda kawalize. wapate kuamka toka usingizi wa fikra za Ufisadi .. hadi Ufisadi kwa vitendo utakavyo waonyesha.
Kwani Fisadi Lowasa .. wewe ni Fisadi piga ua.
 
Jiwe la chumvi linaweza simamisha nyumba?

Waeleze. Jiwe la Chumvi ya kifisadi .. Nalo Jiwe. ? Chumvi hiyo itaimomonyoa ukawa hadi ikae chini sakafuni. Ukawa itajuta. Kwa kukosa maona sahihi na kulibeba jiwe na ufisadi kichwa kichwa.
 
Lowassa kasifiwa sana na Mwenyekiti wako wa Taifa kwenye Hotuba ya kulivunja Bunge kwa uchapa kazi, sasa wewe na Mwenyekiti wako nani mnafiki? Gamba huwa linasifiwa kwa uchapa kazi? UNAFIKI ni Ibada muhimu kwenye dini ya Chama chenu?

Uko sahihi kushindwa kutifautisha "Unafiki na Siasa"

Sasa Jitambue .. amka na uelewe Tofauti Ya Unafiki na game of politics.

Utakuwa na kukomaa tu .. twende polepole ! Yule ndio JK the game changer.
 
Uko sahihi kushindwa kutifautisha "Unafiki na Siasa"

Sasa Jitambue .. amka na uelewe Tofauti Ya Unafiki na game of politics.

Utakuwa na kukomaa tu .. twende polepole ! Yule ndio JK the game changer.

Labda Siasa ndo unafiki kwa kamusi ya CCM lakini siasa Safi tulojifunza enzi za kivukoni sio hiyo mnayofundishwa na ku Practice mpaka kufikia hatua ya kujifanya eti ndo game. Rejea siasa za Mwalimu uje hapa ututajie hiyo michezo yenu ya sasa
 
Back
Top Bottom