Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,226
Atlast Essien amewasili Angola kujiunga na wenzie kule Angola baada ya kukosa flight ya kuja Angola kutokana na Mabadiliko ya hali ya hewa uko UK.
SourceSTV via super sport ch 2 at 23:33 on the 13jan 2010 mara baada ya game ya Tunisia na Zambia kutoka draw
SourceSTV via super sport ch 2 at 23:33 on the 13jan 2010 mara baada ya game ya Tunisia na Zambia kutoka draw