Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

Naombea ije itokee njia zote za kutoka Mbeya kwenda mikoa mingine zifungwe. Hapo ndipo watu watajua thamani ya Mbeya.

Sent from my SM-G318H using JamiiForums mobile app
 
Uzi huu unaonyesha jinsi watanzania tulivyo mambumbu .tunashindwa kujadili mambo muhimu ya Maisha tunakaa kupoteza muda tunabishania mji upi nzuri na kukashifu makabila ya watu na miji. Tunashindwa kujadili bidhaa kupanda Bei Maisha kuwa magumu tunajadili uzuri wa miji tunashindwa kujadili katiba ya Nchi siasa zilivyo tunajadili miji. Miji ambayo hawahawa wanaotuongoza ndio waliosababisha kuiharibu. Mm ningefurahi Sana km tungewakosoa Kwa kuharibu miji yt mana rushwa imesababishwa na haohao watawala wetu. Watanzania ni vyema tupende kujadili mambo yenye umuhimu wa Maisha yt. Tuache umbumbu na upumbuvu. Ndio mana rais mstaafu anatutukana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Yote tisa lakini mbeya bado sana
 
Mji Wa mbeya sehem Nzuri za kutoa mawazo ni tatizo maarufu ni city pub na carnival, pale lux lounge sio kiivo,mi nimezaliwa mby na naishi mby ila saivi nipo Mwanza,kiukweli Mwanza shikamoo wametuzidi kila kitu ila wana mabatini,na Ghana kama zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mji ambao hauna cbd

Mavumbi hadi city center
Dah! Mbeya Nouma sana!!!
 
Vijana wa mitaa mbalimbali na tofauti zao:
Ilemi-wanavuta bangi sana
Nzovwe-wanakunywa pombe sana
Isanga-Bangi na pombe
Nonde-Bangi na mapombe
Uyole-Mapombe (Kingani)
Mabatini/Mbalizi road-Mapombe
Ilolo-Mapombe
Mamajoni-Unga(madawa ya kulevya i.e cocaine,heroine,)
New/Old forest-rate ya wahuni ni ndogo
Mwanjelwa/Dox-wahuni wa mitaa yote hapa ndo makutano yao
Kwa mbalizi ni-Mapelele, DDC,na TAZARA/TARAFANI-Mapombe na Mabangi
Airport-Mapombe na mabangi
Iwambi/Kalobe-Mapombe
Ghana/Majengo-rate ya wahuni ni ndogo
Sokomatola/Jacaranda-rate ya wahuni ni ndogo
Mi Simike kwa wajane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaongea na watu kupitia simu zetu ndani ya daladala kwa sauti ya kumwitia MTU wa mtaa wa wa saba gari
 
Home Sweet Home

Mbeya ni mti wenye matunda acha upigwe mawe kuna baadhi ya watu wanajikuta tu wanaichukia mbeya ukimuuliza sababu hana au utaskia hamna mall, hamna maghorofa sijui hamna nini muulize babaako anayo iyo shopping mall, au unataka sehemu ya kupigia picha, ivi wanadhani kujenga mall ni kitendo cha kufungua zipu tu na kukojoa.

Mipango ya kujenga green city mall ipo na inaenda kwa hatua iyo rock city mall yenyewe imejengwa lini kama sio juzi tu ndo imezinduliwa.

Mnatakiwa mtambue Mbeya ilijengeka kitambo sana kabla hata aya mambo ya mipango miji hayajaanza watu walikua wanajimegea maeneo mitaa ya mwanjelwa, mabatini, simike na sehemu nyingine ambazo kwa kipindi icho zilikuwa zimechangamka. Saizi hayo maeneo ndiyo yanaonekana ya ovyo na sehemu ambazo zilikuwa zinaonekana mapori mfano New Forest, Iwambi, Isyesye kuna mpangilio mzuri wa majengo kwakua ni maeneo ambayo yamepangiliwa na mipango miji

Tena kuna mwingine utakuta anaishi kwenye nyumba ya udongo mkoani kwake uko afu anaanza kuidiss mby utaskia hamna nyumba nzuri mby. Ivi upo serious kweli?

Vile vile msisahau kuwa hii ni Tanzania tunaposema Mbeya ni jiji kwa level ya nchi yetu ni jiji tena kubwa sana limeiacha mikoa mingine mbali sana sana yani saaana. Sasa wewe unaesema Mbeya sio jiji uje na vigezo vyako vyenye maelezo sahihi kwanini sio jiji.

Mbeya sio kama mikoa mingine ambayo serikali inapeleka projects kubwa kwaajili ya kuiendeleza Bali mbeya inajengwa kwa kiasi kikubwa na wakazi wake.
Umeeleweka. Ni sawa na wapumbavu wengi nikiwaambia kwetu kigoma wanasikitika sana, tena wanaongezea kuwa siyo pazuri na wanakuambia hakuna maendeleo wakati hapo kwao Dar wanaishi nyumba ya ajabu sana kuli ya kwangu binafsi achilia mbali ya baba yangu ambayo wakiiona watawaza ni ya Pedeshee aishie America. Chakula tu wanakula kwa kengere then utawasikia Kigoma masikini sana.

Maendeleo ya sehemu tunapaswa kuyapima kwa mtu na mtu regardless anatoka mkoa gani. Unatokwa na povu eti Mbeya bush hakuna majengo mazuri wakati kwenu mnaishi sebuleni tena na dada zenu watatu huku kachumba kamoja kaajabu mmemachia baba yenu na mama yenu wawaongezee wadogo zenu. Shenzi kabisa.

KGM one.
NB ninamaisha mazuri kuliko asilimia 65 ya wa kazi wa Dar

Sent by The CIA
 
Haya hii ni arusha moja ya majiji ya tz linganisheni na big village yenu
e9d21985373ddd3d0f6dee3cc8641800.jpg
ee85d19a0c58e5807034dc187dbe3b68.jpg
f654e55b83843a4d800624a6f8ece201.jpg
220c389c038ba69a0e9625a58a14729e.jpg
d7174e7bcc65f2d18aad5da35f004e92.jpg
4f78556f7c923c0f733203e854783831.jpg
c45d52ed1038ab325e8c403784488556.jpg
4fce8f5fd8f2c3f44fa423d3ca1b00e5.jpg
4aa3382aa7b765a143876c5a950bda35.jpg
5a3f6a2c6f149f65a3e4a97d6c9a6b9f.jpg
02cee05319126e3b450f91d9d6691177.jpg
f621aa59c429397220a13455c7ebb183.jpg
2414b1f6d6496dd122e8fce322792386.jpg
Uulizwe sasa jengo gani kati ya hayo umewahi kuingia kama hujabaki kujinyeanyea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi huu unaonyesha jinsi watanzania tulivyo mambumbu .tunashindwa kujadili mambo muhimu ya Maisha tunakaa kupoteza muda tunabishania mji upi nzuri na kukashifu makabila ya watu na miji. Tunashindwa kujadili bidhaa kupanda Bei Maisha kuwa magumu tunajadili uzuri wa miji tunashindwa kujadili katiba ya Nchi siasa zilivyo tunajadili miji. Miji ambayo hawahawa wanaotuongoza ndio waliosababisha kuiharibu. Mm ningefurahi Sana km tungewakosoa Kwa kuharibu miji yt mana rushwa imesababishwa na haohao watawala wetu. Watanzania ni vyema tupende kujadili mambo yenye umuhimu wa Maisha yt. Tuache umbumbu na upumbuvu. Ndio mana rais mstaafu anatutukana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
When ignorant is bliss to be wise is foolish.
 
Back
Top Bottom