Ibofwee
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 1,305
- 2,449
Mbeya ndo ujinga wenyewe, hv mkuu town ni wapi kwa hapo kwenu mbeya?Acha kuifananisha mbeya na vitu vya kijinga
Sent from koromije using bashite
Mbeya ndo ujinga wenyewe, hv mkuu town ni wapi kwa hapo kwenu mbeya?Acha kuifananisha mbeya na vitu vya kijinga
Mbeya hamna cha ajabuNaombea ije itokee njia zote za kutoka Mbeya kwenda mikoa mingine zifungwe. Hapo ndipo watu watajua thamani ya Mbeya.
Sent from my SM-G318H using JamiiForums mobile app
Yote tisa lakini mbeya bado sanaUzi huu unaonyesha jinsi watanzania tulivyo mambumbu .tunashindwa kujadili mambo muhimu ya Maisha tunakaa kupoteza muda tunabishania mji upi nzuri na kukashifu makabila ya watu na miji. Tunashindwa kujadili bidhaa kupanda Bei Maisha kuwa magumu tunajadili uzuri wa miji tunashindwa kujadili katiba ya Nchi siasa zilivyo tunajadili miji. Miji ambayo hawahawa wanaotuongoza ndio waliosababisha kuiharibu. Mm ningefurahi Sana km tungewakosoa Kwa kuharibu miji yt mana rushwa imesababishwa na haohao watawala wetu. Watanzania ni vyema tupende kujadili mambo yenye umuhimu wa Maisha yt. Tuache umbumbu na upumbuvu. Ndio mana rais mstaafu anatutukana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
HamnaHivi mbeya kuna mall
Mi Simike kwa wajaneVijana wa mitaa mbalimbali na tofauti zao:
Ilemi-wanavuta bangi sana
Nzovwe-wanakunywa pombe sana
Isanga-Bangi na pombe
Nonde-Bangi na mapombe
Uyole-Mapombe (Kingani)
Mabatini/Mbalizi road-Mapombe
Ilolo-Mapombe
Mamajoni-Unga(madawa ya kulevya i.e cocaine,heroine,)
New/Old forest-rate ya wahuni ni ndogo
Mwanjelwa/Dox-wahuni wa mitaa yote hapa ndo makutano yao
Kwa mbalizi ni-Mapelele, DDC,na TAZARA/TARAFANI-Mapombe na Mabangi
Airport-Mapombe na mabangi
Iwambi/Kalobe-Mapombe
Ghana/Majengo-rate ya wahuni ni ndogo
Sokomatola/Jacaranda-rate ya wahuni ni ndogo
Mimi ni mtu Wa mby lkn saiv Niko Mwanza,aisee bora wanyaki wasukuma ni hatari too muchWamewAzidi wasukuma kwa kisukuma huko kwao? Kama umefanikiwa kufika kwa wasukuma tupe ulinganifu mkuu...
Bhabhule bhapilikisyegheFikonyofu fikamanya nasimo...still they will hate the city...wapuuzi tu hao.....mtu unakuta alienda Mbeya 2002 ile image yake ya kichwani anadhani ndo ileile....
Umeeleweka. Ni sawa na wapumbavu wengi nikiwaambia kwetu kigoma wanasikitika sana, tena wanaongezea kuwa siyo pazuri na wanakuambia hakuna maendeleo wakati hapo kwao Dar wanaishi nyumba ya ajabu sana kuli ya kwangu binafsi achilia mbali ya baba yangu ambayo wakiiona watawaza ni ya Pedeshee aishie America. Chakula tu wanakula kwa kengere then utawasikia Kigoma masikini sana.Home Sweet Home
Mbeya ni mti wenye matunda acha upigwe mawe kuna baadhi ya watu wanajikuta tu wanaichukia mbeya ukimuuliza sababu hana au utaskia hamna mall, hamna maghorofa sijui hamna nini muulize babaako anayo iyo shopping mall, au unataka sehemu ya kupigia picha, ivi wanadhani kujenga mall ni kitendo cha kufungua zipu tu na kukojoa.
Mipango ya kujenga green city mall ipo na inaenda kwa hatua iyo rock city mall yenyewe imejengwa lini kama sio juzi tu ndo imezinduliwa.
Mnatakiwa mtambue Mbeya ilijengeka kitambo sana kabla hata aya mambo ya mipango miji hayajaanza watu walikua wanajimegea maeneo mitaa ya mwanjelwa, mabatini, simike na sehemu nyingine ambazo kwa kipindi icho zilikuwa zimechangamka. Saizi hayo maeneo ndiyo yanaonekana ya ovyo na sehemu ambazo zilikuwa zinaonekana mapori mfano New Forest, Iwambi, Isyesye kuna mpangilio mzuri wa majengo kwakua ni maeneo ambayo yamepangiliwa na mipango miji
Tena kuna mwingine utakuta anaishi kwenye nyumba ya udongo mkoani kwake uko afu anaanza kuidiss mby utaskia hamna nyumba nzuri mby. Ivi upo serious kweli?
Vile vile msisahau kuwa hii ni Tanzania tunaposema Mbeya ni jiji kwa level ya nchi yetu ni jiji tena kubwa sana limeiacha mikoa mingine mbali sana sana yani saaana. Sasa wewe unaesema Mbeya sio jiji uje na vigezo vyako vyenye maelezo sahihi kwanini sio jiji.
Mbeya sio kama mikoa mingine ambayo serikali inapeleka projects kubwa kwaajili ya kuiendeleza Bali mbeya inajengwa kwa kiasi kikubwa na wakazi wake.
Uulizwe sasa jengo gani kati ya hayo umewahi kuingia kama hujabaki kujinyeanyea tu.Haya hii ni arusha moja ya majiji ya tz linganisheni na big village yenu
Hahahahahah mbona kuna wazuri tuuKwanini Mbeya hawana wanawake wazuri, karibia kila mwanamke wa Mbeya anafanana na mwanamme inakuwaje? Ukiona mzuri basi huyo ni mwalimu au nesi kutoka mkoa mwingine au ni mtoto aliyehamia kule na wazazi wake.
When ignorant is bliss to be wise is foolish.Uzi huu unaonyesha jinsi watanzania tulivyo mambumbu .tunashindwa kujadili mambo muhimu ya Maisha tunakaa kupoteza muda tunabishania mji upi nzuri na kukashifu makabila ya watu na miji. Tunashindwa kujadili bidhaa kupanda Bei Maisha kuwa magumu tunajadili uzuri wa miji tunashindwa kujadili katiba ya Nchi siasa zilivyo tunajadili miji. Miji ambayo hawahawa wanaotuongoza ndio waliosababisha kuiharibu. Mm ningefurahi Sana km tungewakosoa Kwa kuharibu miji yt mana rushwa imesababishwa na haohao watawala wetu. Watanzania ni vyema tupende kujadili mambo yenye umuhimu wa Maisha yt. Tuache umbumbu na upumbuvu. Ndio mana rais mstaafu anatutukana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app