mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,064
- 6,733
Acha kuwaaibisha watu wa Mzumbe, haujui hata ku cover your tracks unapodanganyami mtambo kaka uliza mzumbe pcm 2006 niliwafanya nn
FIKIRI , CHUKUA HATUA
Acha kuwaaibisha watu wa Mzumbe, haujui hata ku cover your tracks unapodanganyami mtambo kaka uliza mzumbe pcm 2006 niliwafanya nn
<br />Habari ya GPA inaingia vipi kwenye hiyo hadithi yako? Vilaza mna tabu sana.
mkuu hiyo kitu haiwezekani <br />
3 + 3 + 5 = 11 <br />
11/3 =3.6<br />
hiyo ndo maximum GPA ya huyo mdada anayoweza kupata (3.6) under all ideal conditions plus GPA ya 5.0 ya third year
bora umemuelekeza jinsi ya kukokotoa hyo GPA. Nina wasiwasi hata hajui ni kitu gani kwanza.
mi nilipiga GPA 4.3 YEYE 4.0 wakati mwaka wa kwanza na wapili hajawah kuvuka 3.0.
mkuu hiyo kitu haiwezekani
3 + 3 + 5 = 11
11/3 =3.6
hiyo ndo maximum GPA ya huyo mdada anayoweza kupata (3.6) under all ideal conditions plus GPA ya 5.0 ya third year
heheheeee ameipua story ikiwa bado mbichi....
Washkaji nikiwa niko mwaka wa tatu kama moja ya vijana wakawaida sana tuka familia za kimaskini mtegemea boom,ila kwa kua ubongo ninao sitaduu mmoja alianza kuja fata lecture alianza kunifata sit yangu class baadae akaanza kuomba aje geto ,nilimkatalia kwa kua moja mi nlijua wagumu wenzangu wangeniaona sharobaro ikawa kero nkaamua kutopokea cm yake.
Sasa aliponiweza ni pale jina langu lilipo wekwa ubaoni ambao hatujalipa 150000 ya ada ,yule dada akanilipia, kiukwel alinisaidia ila nikawa mtumwa sasa akawa ananifata kijiwe mi nashindwa hata kura viloba vyangu namuonea soo. Yalitokea mengi akafanikiwa kunihamishia geto kwake magomeni ikawa ni mitungi na mikas na shule mi nilipiga GPA 4.3 YEYE 4.0 wakati mwaka wa kwanza na wapili hajawah kuvuka 3.0.
Me i neva knew wat z luv hivo nilichanganywa kikwell later, tulipo graduu akapata ujauzito cku moja akanitoa laki2 kuntaka nkawachek wazee nyororo kjj Iringa. Nikiwa njiani nikapokea ujumbe akinishukuru kumwonyesha mwanga wa maisha na kunieleza ile mimba si yangu na anaolewa soon, nililia kama mtoto ,washkaj nao wamenitenga wananita snich ......crudi dar tena ahhh