Hatakupenda sitamani, utamu wa mapenzi umekula kwangu mimi..nahama Dar kujikomoa

Washkaji nikiwa niko mwaka wa tatu kama moja ya vijana wakawaida sana tuka familia za kimaskini mtegemea boom,ila kwa kua ubongo ninao sitaduu mmoja alianza kuja fata lecture alianza kunifata sit yangu class baadae akaanza kuomba aje geto ,nilimkatalia kwa kua moja mi nlijua wagumu wenzangu wangeniaona sharobaro ikawa kero nkaamua kutopokea cm yake.

Sasa aliponiweza ni pale jina langu lilipo wekwa ubaoni ambao hatujalipa 150000 ya ada ,yule dada akanilipia, kiukwel alinisaidia ila nikawa mtumwa sasa akawa ananifata kijiwe mi nashindwa hata kura viloba vyangu namuonea soo. Yalitokea mengi akafanikiwa kunihamishia geto kwake magomeni ikawa ni mitungi na mikas na shule mi nilipiga GPA 4.3 YEYE 4.0 wakati mwaka wa kwanza na wapili hajawah kuvuka 3.0.

Me i neva knew wat z luv hivo nilichanganywa kikwell later, tulipo graduu akapata ujauzito cku moja akanitoa laki2 kuntaka nkawachek wazee nyororo kjj Iringa. Nikiwa njiani nikapokea ujumbe akinishukuru kumwonyesha mwanga wa maisha na kunieleza ile mimba si yangu na anaolewa soon, nililia kama mtoto ,washkaj nao wamenitenga wananita snich ......crudi dar tena ahhh

..Inawezezekana ni kwasababu ya elimu yangu ndogo, kiukweli sijakuelewa kabisa au ni ugeni wangu humu jamvini? nina muda mfupi sana JF na niliambiwa ni jamvi la great thinkers... lakini msomi wewe mbona hueleweki unasema nini!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom