hataimaye uso kwa uso na mwana chit chat,je unajua ni nani?fatilia hapa

Status
Not open for further replies.
Lolest shem @ cacico babu Asprin ako wapi kwanza? Au kenda makirikiri? Lol come zis way unambie what happened,
yupo hoi na game nililompa juzi! amepumzika hapa, namuandalia maji akajimwagie! naja shem kwa pm fasta! khaaaaaaa!
 
yupo hoi na game nililompa juzi! amepumzika hapa, namuandalia maji akajimwagie! naja shem kwa pm fasta! khaaaaaaa!

Orait ukimaliza uje nimejuwekea burger ina cheese na fanta bardii shem wangu, acha babu alalemo kwanza lol come zis way
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom