Hata mkisusia Mialiko ya Hafla zetu kwa Chuki, Wakatoliki kupitia TEC msimamo Wetu kuhusu 'Wanyonyaji' DP World haujabadilika na hautabadilika Abadan

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 3,2023 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla ya kusimikwa na kuwekwa wakfu kwa Mhashamu Askofu Thomas John Kiangio Kanisa Kuu la Mtakatifu Antony wa Padua, Chumbageni Mkoani Tanga.
Chanzo:
owm_tz

Na Ibada ya Jumapili ijayo katika moja ya Makanisa ninayosali ya Mtakatifu Michael Kawe au Mtakatifu Petro Oysterbay au Mtakatifu Joseph Posta GENTAMYCINE nitaomba ( kwa Kujitolea na Kimakusudi ) kabisa niendelee Kulisoma tu hilo Tamko Tukuka la TEC kuhusu Wanyonyaji DP World.

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
 
Back
Top Bottom