Jamani, mwenzenu nilienda kuhesabiwa, na ushahidi ndo huu!View attachment 19647
KARIBUNI...
Siku hizi hata chibuku zinatumikaHii mbona imekaa kama msabe au chibuku.
Ile mbege huwa hawanywei humo bana kuna kitu inaitwa kata
Kwa minajili hiyo hukwenda mlimani
mie sijaelewa kuhesabiwa na kikombe hicho ndio nini?
Hii mbona imekaa kama msabe au chibuku.
Ile mbege huwa hawanywei humo bana kuna kitu inaitwa kata
Kwa minajili hiyo hukwenda mlimani
Pika uji wa ulezi, changanya na ndizi mbivu kabisa uulaze..uunywe siku mbili au tatu baadaye! karibu..
Jamani, mwenzenu nilienda kuhesabiwa, na ushahidi ndo huu!View attachment 19647
KARIBUNI...
Mmh nikijaribu ntakupa feedback!!Ila hiyo hapo juu ndo ya ukweli!Hehehe yeah ndo matokeo!!Haya basi, uiweke kwenye blender...then, unywe! op vikwazo vimeisha..
hivi, hii Masa ni maotkeo ya JF boyfriend uliekuwa ukimtafuta ama!??
Siku hizi hata chibuku zinatumika
fidel hiyo siyo chibuku ni MBEGE!