Hata mimi nilienda kuhesabiwa!

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Jamani, mwenzenu nilienda kuhesabiwa, na ushahidi ndo huu! DSC03516.JPG
KARIBUNI...
 
Hii mbona imekaa kama msabe au chibuku.

Ile mbege huwa hawanywei humo bana kuna kitu inaitwa kata

Kwa minajili hiyo hukwenda mlimani

Wazee nao wameendelea ati..wanatumia hii kunywea mbege! aisee baba angu ee...ushahidi gani mwingine unataka!??
 
Haya basi, uiweke kwenye blender...then, unywe! op vikwazo vimeisha..
hivi, hii Masa ni maotkeo ya JF boyfriend uliekuwa ukimtafuta ama!??
Mmh nikijaribu ntakupa feedback!!Ila hiyo hapo juu ndo ya ukweli!Hehehe yeah ndo matokeo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom