kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
kuna tetesi kuwa helcopter ya mh Freeman Mbowe imeonekana ikitua maeneo ya Loliondo kwa yule pastor anayetibu magonjwa sugu.mwenye habari zaidi atujuze..
kuna tetesi kuwa helcopter ya mh Freeman Mbowe imeonekana ikitua maeneo ya Loliondo kwa yule pastor anayetibu magonjwa sugu.mwenye habari zaidi atujuze..
Is Mbowe Immune to Deseases? Mbona Nasikia hata Mkulu aka Muungwana aka H.C Dr. Kikwete naye alipeleka yale Maradhi yake Sugu ya Kuanguka
yani kama JK kaingizwa cha kike na mbowe naye hovyohivyo?nakata tamaa sana na hawa viongozi wetu.
tetea hoja acha hasira!Holly Crap
tetea hoja acha hasira!
mshkaji una bahati mbaya sana ku-stigmatise watu wakati hujafa hujaumbikayani kama JK kaingizwa cha kike na mbowe naye hovyohivyo?nakata tamaa sana na hawa viongozi wetu.
mshkaji una bahati mbaya sana ku-stigmatise watu wakati hujafa hujaumbika
endelea kujilaani
stigma iko wapi hapa? huu ni upupu inashangaza kama viongozi wetu bado hawatambui kuna magonjwa sugu ambayo hayatibiki,leo hii wao ndio wanakua wakwanza kudanganywa na kupotoshwa, huuu ni uzembe.nakuhakikishia kutakuwa na wimbi kubwa la wagonjwa watakaozidiwa kwa kuacha dawa za hospitali.
nini maana ya chronic disease?umeshasikia mtu mwenye kisukar,kansa au asthma amepona?dawa za magonjwa sugu hupunguza makali ya ugonjwa na sio kuponyesha.ukilitambua hili utakubaliana nami kuwa huyu pastor ni chogi.Hakuna Ugonjwa Usitibika
nini maana ya chronic disease?umeshasikia mtu mwenye kisukar,kansa au asthma amepona?dawa za magonjwa sugu hupunguza makali ya ugonjwa na sio kuponyesha.ukilitambua hili utakubaliana nami kuwa huyu pastor ni chogi.
good one mkuu... but your previous post was more stigmatizing than this analysisstigma iko wapi hapa? huu ni upupu inashangaza kama viongozi wetu bado hawatambui kuna magonjwa sugu ambayo hayatibiki,leo hii wao ndio wanakua wakwanza kudanganywa na kupotoshwa, huuu ni uzembe.nakuhakikishia kutakuwa na wimbi kubwa la wagonjwa watakaozidiwa kwa kuacha dawa za hospitali.
mkuu hata dawa za marekani hutokana na mitishamba kwa hiyo sio issue sana ,lakini kusema hii dawa inatibu magonjwa sugu yote halafu lazima upewe na pastor mwenyewe huku hakuna uthibitisho wa kisayansi wa mtu yoyote aliyepona ni uzezeta usio na kifani katika karne hii ya 21.Ungekuwa ni Mtumwa wa Kimwili ingekuwa Rahisi sana Kukukomboa, ila Tatizo lako wewe Ni Mtumwa wa Akili yaani Umefilisika Kimawazo, kwamba kwako wewe dawa ni lazima Zitoke marekani
nashukuru kwa kunielewa mkuu.good one mkuu... but your previous post was more stigmatizing than this analysis
hoja ipi unataka atetee...au hizi tetesitetea hoja acha hasira!