Hata kikwete ni mwana jamvi?

Status
Not open for further replies.
kwani umetongozwa na watu wangapi humu so far?

Why? Sijasema nimetongozwa; nimesema kuna posibility ya ndugu kutongozana! Mimi mwenyewe nimewatongoza wanaume 6 na wanawake 3 LOL

Wewe je? Umetongoza wangapi?
 
Leo nimegundua kuwa kumbe BABA yangu ni MWANA jamvi na huanzisha sana THREAD hapa JAMVINI.

NIKAJIULIZA MASWALI HIVI KUMBE KUNA WAKATI (KWA WALE WANAOTUKANA NA WENYE MAJIBU MAKALI) UNAWEZA MTUKANA AU MJIBU OVYO DINGI YAKO AU MKWEO HAPA JF EEH?

Nanika kundua kumbe kuna watu ni very influencial kwa jamii wapo jamvini! wazo likaja kumbe hata Mzee JK anaweza kuwa mwana Jamvi!
NA KAMA NI HIVYO BASI JE! CJAWAHI MJIBU FATHER KAVU HAPA JF? HII NI KWANGU

WEWE JE? KAA sawa MWANA JF! UNAPORUSHA MAWE YAKO HAPA!

kwanini ucomment hovyo?
 
Kuna watu wakitia mguu tu hapa jf, hata kabla ya kupost washapewa u premium member, tujuaje sasa? mmoja wapo labda atakuwa mkuu wa kaya....
 
Upremium unapewa kama umeichangia JF zaidi ya 50,000. Haijalishi uwe umepost au uwe haujapost.
 
kuna watu najua kabisa umri wao umeenda kama FAIZA FOX,ASPRIN na Husninyo ni 37 yrs Tasker bariid 44, mwita25 yeye tulisherekea juzi 33 yrs mzee 26, mzee mwanakijiji 46 Ashadii 34, Rejao 29.lakini wengne pamoja na umri mkubwa walionao wanaongea pumba hadi wanashushuliwa...niwataje??
Analysis yako ya umri imetumia vigezo gani?
Lol..naona umenipa umri wa enzi zilee! Nautamani sana huo Umri!
 
faizafoxy umri wake ni zaidi miaka 45
na wewe ulieanzisha mada uko chini ya 30
probably ana weza kukuza ,tena mtoto wa tatu labda....

sasa unaanzisha thread kuhusu nini na wewe unafanya nini???????

Boss! labda nimtake ladhi huyu dada FAIZAFOXY but the issue is "hata kama ni mtu mzima basi nina mashaka na Busara zake kwani kila mara" hujaribu kuingiza suala la udini katika michango yake" mimi simpendi mtu mdini, hebu fuatilia hoja zake
 
cha kushangaza ni huyohuyo mleta mada anapoanza kuteremsha matusi.

ukiona dunia yote inakugeukia jua unatatizo, mimi lengo si kukutukana thou nimetumia lugha kali but ni kwasababu mara nyingi katika hoja zako unapenda kuonesha msimamo hasi unaokumbatia udini na dharau furani hivi (fuatilia mada unazo changia zinavyorudishwa na quotation za criticism) any way i'm sorry for that.
 
Kwa hapa jf tupo vichwa vingi sana kwahyo siku usishangae unabishana na mzazi wako ndugu yako na hata bosi wako.
 
Leo nimegundua kuwa kumbe BABA yangu ni MWANA jamvi na huanzisha sana THREAD hapa JAMVINI.

NIKAJIULIZA MASWALI HIVI KUMBE KUNA WAKATI (KWA WALE WANAOTUKANA NA WENYE MAJIBU MAKALI) UNAWEZA MTUKANA AU MJIBU OVYO DINGI YAKO AU MKWEO HAPA JF EEH?

Nanika kundua kumbe kuna watu ni very influencial kwa jamii wapo jamvini! wazo likaja kumbe hata Mzee JK anaweza kuwa mwana Jamvi!
NA KAMA NI HIVYO BASI JE! CJAWAHI MJIBU FATHER KAVU HAPA JF? HII NI KWANGU

WEWE JE? KAA sawa MWANA JF! UNAPORUSHA MAWE YAKO HAPA!

akiongea pumba anatarajia nini? kupewa dawa zake tu
 
huyu sofia simba!

Kama kweli FF ni Sophia Simba naungana na hao wanaomtumia PM yule mama ananivutia sana huwa mchuruko fulani na nanaonekana kitandani si haba ila jamani punguzeni makali ya maneno kwa FF angekuwa na roho ya kijiko angeshajinyonga kwa jinsi mnavyomsakama hata akiongea cha maana mnamponda.
 
ukiona dunia yote inakugeukia jua unatatizo, mimi lengo si kukutukana thou nimetumia lugha kali but ni kwasababu mara nyingi katika hoja zako unapenda kuonesha msimamo hasi unaokumbatia udini na dharau furani hivi (fuatilia mada unazo changia zinavyorudishwa na quotation za criticism) any way i'm sorry for that.

Wewe kama unaweza jibu hoja zangu, hunijuwi sikujuwi, hijab yangu imekuhusu nini? Tena nnakuambia kama ni mwanamme kweli na sio khanithi niambie uko wapi nikufate kwa gharama zangu uje kunivuwa hii hijab na ukishindwa ujuwe ntakufanyizia wewe, kama humjui FF leo ndio utamjuwa na weka na mashahidi wako na useme kinaga ubaga uko wapi na mimi nakuja.

Wewe si pimbi tu nnaeweza kukutowa huku nakwenda mbio.
 
Boss! labda nimtake ladhi huyu dada FAIZAFOXY but the issue is "hata kama ni mtu mzima basi nina mashaka na Busara zake kwani kila mara" hujaribu kuingiza suala la udini katika michango yake" mimi simpendi mtu mdini, hebu fuatilia hoja zake

Dini ni yangu na wewe inakuuma nini? si usisome? ulilazimishwa kusoma post zangu? au hukijui kifungo cha IGNORE?
 
Kama kweli FF ni Sophia Simba naungana na hao wanaomtumia PM yule mama ananivutia sana huwa mchuruko fulani na nanaonekana kitandani si haba ila jamani punguzeni makali ya maneno kwa FF angekuwa na roho ya kijiko angeshajinyonga kwa jinsi mnavyomsakama hata akiongea cha maana mnamponda.

Hao hawanisakami nawasakama mimi na hiyo ndio reaction yao, wanakuwa hawana hoja ya kujibu? capacity yao ni finyu sana. Wala wasikusumbuwe. Mie nnawataka waje na ujinga wao niwaweke sawa.
 
Wewe kama unaweza jibu hoja zangu, hunijuwi sikujuwi, hijab yangu imekuhusu nini? Tena nnakuambia kama ni mwanamme kweli na sio khanithi niambie uko wapi nikufate kwa gharama zangu uje kunivuwa hii hijab na ukishindwa ujuwe ntakufanyizia wewe, kama humjui FF leo ndio utamjuwa na weka na mashahidi wako na useme kinaga ubaga uko wapi na mimi nakuja.

Wewe si pimbi tu nnaeweza kukutowa huku nakwenda mbio.

Nawalipia hotel Arusha leo kuna baridi lakini shurti nishuhudie hilo gem na kutoa kikombe kwa msindi. Jamani mkiwasha moto msishindwe kuota.
 
kuna watu najua kabisa umri wao umeenda kama FAIZA FOX,ASPRIN na Husninyo ni 37 yrs Tasker bariid 44, mwita25 yeye tulisherekea juzi 33 yrs mzee 26, mzee mwanakijiji 46 Ashadii 34, Rejao 29.lakini wengne pamoja na umri mkubwa walionao wanaongea pumba hadi wanashushuliwa...niwataje??

Una uhakika au unakisia tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom