Hata kama ningeombwa na Adamu na Hawa, mimi simtaki tena

If it were me the judge, ningetafuta kimti hata cha mpera, then ningepiga mkwara kidogo tu, ningesema hivi " well, bw. Kweku ushadi uliotupa unajitosheleza kabisa, ila ili kutenda haki tuankuomba ututhibishie kuwa nawe hujawahi kuchapa nje, so please chukua hiki kipande cha mti ukitafune, ila tahadhari kama umewahi kuchapa nje utapata madhara"
Hapo ukweli ungejulikana

Haijalishi anachapa nje ama laa! Mradi hajakutwa na bwana pepusi..

Halafu hata kama anachapa nje hainipi mimi cheti cha kufanya hayo
 
Sijui ni fungu la kukosa au ni laana,ivi kama hutosheki mapenzi si useme, mie wallahi nasema kama sijashiba,mbona mechi itarudiwa japo yakirafikiii..

Watu wanamuendekeza shetani sana mpaka akili zinaziba!
 
Kukosekana kwa uaminifu huumiza sana maana hakuna mtu anayependa kudanganywa tena kwa kesi kama hii Kweku anamuuliza mwenziye kama anachepuka mwenziye anakataa mwishowe kanaswa sasa hapo utegemee nn kama si kuachwa
 
Upweke nao ni mbaya sana. Kama umezoea kwa wiki mara tatu, kwa mwezi mara moja itakushinda. Ila inasikitisha sana, kaendekeza tamaa za mwili mpaka kaharibu kabisa. Mi wala simlaumu huyo mwanaume, kusalitiwa kuna uma na kuna kera sana, tena kama ukiwa na uwezo wa kumpatia mwanamke karibia kila kitu akitakacho kasoro uhai wako tu.
 
Daaah mbaya zaidi ni hapo kuona mtu mwengine anapewa style nyingine kali kali kuliko wewe mwenye mali:what:
 
If it were me the judge, ningetafuta kimti hata cha mpera, then ningepiga mkwara kidogo tu, ningesema hivi " well, bw. Kweku ushadi uliotupa unajitosheleza kabisa, ila ili kutenda haki tuankuomba ututhibishie kuwa nawe hujawahi kuchapa nje, so please chukua hiki kipande cha mti ukitafune, ila tahadhari kama umewahi kuchapa nje utapata madhara"
Hapo ukweli ungejulikana

Duh Watu Mnajua Kutega Wenzenu
 
Hapo hata ingekuwa mimi ningesema the same " kazi ikasira kale" hapo kila mmwe na nyerenze
 
Wewe Mmeku Sijui Nani
Usikubali Kuacha Kizembe Hivyo Kwanza Muite Chumbani Na Wewe Mpe Hizo Style Ambazo Kapewa Huyo Jamaa Yaani Kuanzia Asubuhi Mpaka Jioni Kazi Moja Tu Maana Ujinga Wako Utamuachaje Mwenzio Bila Haki Yake Eti Kazini Mwezi Mzima Mwenzio Hapati Wa Kumkuna Kha! Si Bora Kapata Mtu Wa Kumsaidia.
 
Upweke nao ni mbaya sana. Kama umezoea kwa wiki mara tatu, kwa mwezi mara moja itakushinda. Ila inasikitisha sana, kaendekeza tamaa za mwili mpaka kaharibu kabisa. Mi wala simlaumu huyo mwanaume, kusalitiwa kuna uma na kuna kera sana, tena kama ukiwa na uwezo wa kumpatia mwanamke karibia kila kitu akitakacho kasoro uhai wako tu.

Kweku inabidi asafiri ndiyo mkate uingie nyumbani, pamoja na hayo alijitahidi kuja nyumbani katikati ya safari zake
 
Kweku inabidi asafiri ndiyo mkate uingie nyumbani, pamoja na hayo alijitahidi kuja nyumbani katikati ya safari zake

Ni mtihani, kwa sababu kwa upande wa mwanamke uzalendo umemshinda, na kwa upande wa mwanaume kazi zinambana.
 
Back
Top Bottom