Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,509
- 12,191
"Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi"
Ni maneno yaliyonifanya nisome vizuri texts za huyu jirani yangu hapa kwenye bus la kwenda Dodoma usiku huu.
Ni mzee wa makamo kama na 45-50 hivi. Binti anamuita dady na anasema anataka waleane asimuache.
Mzee anamwambia unanisumbua kwa sababu sijakununulia smartphone ya laki 5, akimuahidi binti ampe wiki 2 atapata hiyo laki 5 ya smartphone.
Aisee mke wa mtu anabembeleza penzi kwa huyu mzee na kutaka anunuliwe simu mpya
Kama mume katika ndoa mpya , nimeumia kwa aajili ya huyo mume wa huyu mke ambaye anachepuka na huyu mzee
Kwa aliye kwenye ndoa na utaona mkeo kapata simu mpya ya laki 5 hadi 6 , mali yako inaliwa