Hasheem thabeet anatatizo gani kukaa bench (houston rokects)- nba

Muda anao but not as long as you think. I completely agree that he was taken as a work in progress but that in itself has a limit. As a fourth year veteran he should by now be showing some of that promise on the contrary he is regressing (refer to his career number below). Now to be fair to him the moving between the NBA and the D-League and switching teams probably did not help him establish any consistency. Offensively, I don't think much was expected from him seeing as to he was heralded for his defensive play, but even that he seems to be struggling to establish himself in. I get the whole history making aspect to it and I understand how him being relatively new to the game plays a role in this but the numbers he is putting up are just not acceptable. Nobody is asking for him to be the next Dwight Howard or even Tyson Chandler for that matter, but 10 pts, 5 boards and a couple of blocks per night is not something out of his range. Obviously he needs minutes to get these numbers, but unless he improves his production for the few minutes he is getting its hard to see how he will get more minutes. Please understand no one is trying to bash the guy but we are just trying to analyze what is wrong and what he can possibly do to improve. If HT had gotten into the league undrafted or as some 2nd round pick then he can be afforded the luxury of saying what he has done is groundbreaking enough, but come one people not even Kobe Bryant was picked second overall (He went 13th overall). The excuse that he needs time is outdated and clearly he is not moving forward but backwards instead. I've already stated in another thread that he could have used an extra year in college but that is a bygone. Last time I checked both Mutombo and Olajuwon live in Houston why not reach out to these African legends of the game and learn a few tricks of the trade? According to the NBA website he is listed at 25 years of age, one has got to wonder at what point will he be deemed uncoachable because of his age? Is it all doom and gloom for him? I for one think he still can turn it around and hope that he will because clearly he is got the potential (that is why he was drafted so high) He just has to reach that potential, even half of it for crying out loud. As for him being able to stay in the league just because of his size and potential, that is very true (the NBA lacks "Big Men") but he can forget the money he is making now when he signs a new contract if he keeps putting up numbers like these

Career Season Averages
stats_header_lft.gif
YearTeamGGSMPGFG%3P%FT%OFFDEFRPGAPGSPGBPGTOPFPPG
09-10MEM681313.00.5880.0000.5811.32.33.60.20.21.30.632.383.1
10-11MEM4508.20.4360.0000.5430.51.11.70.10.20.30.381.621.2
10-11HOU202.00.0000.0000.0000.00.00.00.00.00.50.001.500.0
10-11--4707.90.4250.0000.5430.51.11.60.10.20.30.361.621.1
11-12HOU405.01.0000.0000.0000.30.81.00.00.00.50.000.751.5
Career--1191310.70.5570.0000.5700.91.82.70.10.20.90.502.032.2
 
Kila binaadam ana kikomo chake, mlitaka kila mmoja awe kama Jordan au Kobe?

Alipofika Hasheem hakuna Mtanzania aliyewahi hata kunusa, kaweka historia kwa Tanzania anastahili kila pongezi. Kuwepo tu benchi la NBA si mchezo. Kuwepo NBA ni ndoto ya karibu kila mtoto wa kimerekani na Basket ni mmoja katika michezo inayopendwa sana US, seuse kuwa ni ndoto ya wengi duniani.

Hasheem, apongezwe alipofikia na kwa huu mchezo ulivyo, it takes only 5 minutes za kucheza na move moja tu ya maana kubadili muonekano. Tumuombee kila la kheri.

Wajua ni wachezaji wangapi wa Africa wako NBA na wote wana piga kila Game wachezayo ni huyo Hasheem wako unae mtetea ana vigezo vyote vya kuwa 1st 5 line up ya timu yake ila dogo mzembe wewe NBA ni workouts zako mfano mzuri ni Serge Ibaka (Mtoto wa Congo-Kinshasa) anachezea Oklahoma City all stars ya mwaka jana alikuwepo kwa Dunk Competition na aliingia na bendela ya Congo, Luol Deng yuko Chicago Bulls katoka Sudan uliza kafanya mambo gani sudani ujue, mbali na hao kuna msenagal yuko High School USA, NBA wamesema anastahili kucheza NBA na sio huko High School leo hiii unadiliku msifu Hasheem kwa mauuvivu khaaa ivi unaujua huu mchezo kweli au unaongea penye ukweli tunasema tuuu dogo anapoteza muda wake huko tuuu ukiwa NBa ni kupambana na sio kwenda kuosha na ndio mawazo ya kwetu watanzania kupe kuishi pila kuhangaikia maisha , Na ndio maana nika toa mfano kwa Jeremy Lini ameanza last 2 week on Monday kwa 28pts na 8 asst na mpaka sasa ndani ya week mbili Jeremy Lin ana Points 109pst in First 4 start (Most In NBA since Merger) na Knicks won last 5 games toka Lin ameanza hebu jiulize Haseem toka ameingia kaweka record gani na he was the 2nd pick Overall in NBA 2009 ivi unajua maana ya 2nd Pick in NBA au unadhani ni mpira wa TFF,SIMBA ,YANGA,VODACOM huu???

Muda anao but not as long as you think. I completely agree that he was taken as a work in progress but that in itself has a limit. As a fourth year veteran he should by now be showing some of that promise on the contrary he is regressing (refer to his career number below). Now to be fair to him the moving between the NBA and the D-League and switching teams probably did not help him establish any consistency. Offensively, I don't think much was expected from him seeing as to he was heralded for his defensive play, but even that he seems to be struggling to establish himself in. I get the whole history making aspect to it and I understand how him being relatively new to the game plays a role in this but the numbers he is putting up are just not acceptable. Nobody is asking for him to be the next Dwight Howard or even Tyson Chandler for that matter, but 10 pts, 5 boards and a couple of blocks per night is not something out of his range. Obviously he needs minutes to get these numbers, but unless he improves his production for the few minutes he is getting its hard to see how he will get more minutes. Please understand no one is trying to bash the guy but we are just trying to analyze what is wrong and what he can possibly do to improve. If HT had gotten into the league undrafted or as some 2nd round pick then he can be afforded the luxury of saying what he has done is groundbreaking enough, but come one people not even Kobe Bryant was picked second overall (He went 13th overall). The excuse that he needs time is outdated and clearly he is not moving forward but backwards instead. I've already stated in another thread that he could have used an extra year in college but that is a bygone. Last time I checked both Mutombo and Olajuwon live in Houston why not reach out to these African legends of the game and learn a few tricks of the trade? According to the NBA website he is listed at 25 years of age, one has got to wonder at what point will he be deemed uncoachable because of his age? Is it all doom and gloom for him? I for one think he still can turn it around and hope that he will because clearly he is got the potential (that is why he was drafted so high) He just has to reach that potential, even half of it for crying out loud. As for him being able to stay in the league just because of his size and potential, that is very true (the NBA lacks "Big Men") but he can forget the money he is making now when he signs a new contract if he keeps putting up numbers like these
Career Season Averages
stats_header_lft.gif
YearTeamGGSMPGFG%3P%FT%OFFDEFRPGAPGSPGBPGTOPFPPG
09-10MEM681313.00.5880.0000.5811.32.33.60.20.21.30.632.383.1
10-11MEM4508.20.4360.0000.5430.51.11.70.10.20.30.381.621.2
10-11HOU202.00.0000.0000.0000.00.00.00.00.00.50.001.500.0
10-11--4707.90.4250.0000.5430.51.11.60.10.20.30.361.621.1
11-12HOU405.01.0000.0000.0000.30.81.00.00.00.50.000.751.5
Career--1191310.70.5570.0000.5700.91.82.70.10.20.90.502.032.2

Tangulizo kwa RED line; Over my dead body HT will never learn or imitate anything from African NBA Legend as you've mentioned.

Sijaelewa kama huyu dogo ana washauri kweli maana wachezaji wengi huwa wana watu wao wanao wapa habari nadhani wana mpoteza taraatibu.

Kuna mtu mmoja kasema haoni mfano wa kobe alikuwa 13 katka selection na alianzia Bench ila kila nafasi aliyokuwa akipewa hapo Lakers anafanya kweli. Leo hii yuko wapi ni mtu wa 5 NBA katika wachezaji wenye points nyingi. Ukifanya kweli kila at least 5 mins ya kila game na ndipo unapo jenga confidence kutoka kwa Team yako kwa ujumla na washabiki na mins za kucheza nazo zinaongezeka.
 
Kweli dogo ana muda na anaweza jirekebisha tu...hilo la kujifanya hajui kiswahili hata mimi nilishawahimsikia akihojiwa anakera sana

Hapo kwenye Lugha kwakweli sito msema ila kwa ukweli sisi watanzania tukisha soma na kwenda ulaya na kurudi KiswaNglish kina kuwa kingi sana hili kwa wengi wa wantanznaia tunashindwa kulikabili kabisa ni asha Rose Migiro alikuwa akihojiwa kwa kiswahili anajibu kiswahili hachanganyi maneno, tooooooo much of Kiswanglish khaaaaaaaaaa hatukwepeki kwa hilo

Ndiyo matatizo ya kukulia kwenye shida, then ukipata ukubwani unabweteka. Mimi watoto wangu wote watatu wamezaliwa nje ya nchi na wamekulia nje ya nchi. Wa kwanza 17, wa pili 13, na wa mwisho 9, cha kushangaza wote hawa wanazungumza Kiswahili utafikiri wameishi TZ maisha yao yote. Hasheem alienda Marekani majuzi tu hapa na kila mara yupo TZ hiko Kiswahili amesahau lini na wakati hata akiongea English bado anaonekana hajuwi hiyo lugha. Kwa kifupi huyu Kijana ana matatizo na ndiyo maana hata kucheza kumemshinda, majuzi tu hapa nilisoma kuwa timu yake imesitisha ku renew mkataba wake maana he's not useful to the team. Sasa hivi tutamsikia anaimba fleva bongo, subirini tu si Clouds radio ipo.
 
Sincere question, who is his manager/agent? these are people who need to look after the direction his career is taking and guide him to reach his potential. I propose for Mkuu wa Kaya to use his connections to get Mutombo to act as a mentor to our brother, he is after all a national treasure (IMO). If all fails I hope he is saving/investing hardcore, apparently some 60% of players that retire from the NBA go broke after a mere 5 years (LIFE OF REILLY - ESPN The Magazine) or (http://www.thestar.com/sports/baske...--nba-players-financial-security-no-slam-dunk).
 
Kila binaadam ana kikomo chake, mlitaka kila mmoja awe kama Jordan au Kobe?

Alipofika Hasheem hakuna Mtanzania aliyewahi hata kunusa, kaweka historia kwa Tanzania anastahili kila pongezi. Kuwepo tu benchi la NBA si mchezo. Kuwepo NBA ni ndoto ya karibu kila mtoto wa kimerekani na Basket ni mmoja katika michezo inayopendwa sana US, seuse kuwa ni ndoto ya wengi duniani.

Hasheem, apongezwe alipofikia na kwa huu mchezo ulivyo, it takes only 5 minutes za kucheza na move moja tu ya maana kubadili muonekano. Tumuombee kila la kheri.

Kwa mawazo hayo ya kuridhika ridhika kwenye maeneo ambayo wengine wameshapita, Afrika tutabaki kuwa nyuma. Sasa kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza NBA then kukaa benchi (wakati naamini akiongeza nguvu anaweza akang'ara) ni suala la kumsifia mtu!?
May be anahitaji msaada wa mawazo na taaluma pia. Tunatambua kuwa NBA kuna ushindani mkubwa ili naye inabidi aongeze juhudi. Ila pia tusimjadili kwa kumpiga majungu.
 
Hasheem thabeet, urefu wake utaendelea kumbeba NBA, ni mtu wa pili kwa urefu..Dogo anachonikera anajifanya hajua kiswahili vizuri.

kwa upande wangu urefu si tija sana,kwani kuna kijana kutoka china anaitwa LIN urefu wake haumfikii Hasheem lakini kazi anayo ifanya akiwa uwanjani ni kubwa sana,cha kushangaza kijana wetu Hasheem hautumii hata huo urfu wake kufanya kile tulichokuwa tunakitegemea ,nimeangalia mechi yao juzi walishinda lakini sikuweza kumwona hata ktk sub.

tatizo letu wtz waliofanikiwa kidogo tu wameshindwa kusimamia kile kilichowasababisha kufanikiwa na mwisho wa siku kudhani kuwa mafanikio aliyonayo yataendelea kuwepo hata kama hatafanya vyema ktk kile anachokiamini

Hasheem,hivi huwaoni wenzako wanavyosaka mafanikio kwa kasi ya kimondo? usilale na usibweteke
 
Mkuuu Hasheem hafanyi workouts za kutaka kucheza ni kweli kaisha bweteka, wenzake wana pigania nafasi alafu rookies wanakuja juu kila kukicha huko NBA sasa anategemea kupata nafasi kama hajitumi, Last Time alishushwa kucheza D-League aka perform vyema akarudishwa tena NBA league tena ame bweteka tena sasa hili linaonyesha dhahiri kabisa huyu dogo wetu hajitumi na hana mpango wa kujituma kuonekana kwenye NBA league au anataka kwenda Spain Basketball League na kama kashindwa NBa huko hatoweza kabisaaaaa

Kipaji ni kitu huwezi lazimisha na kina ukomo wake pia ingawa pia uzembe unaweza ukaathiri kipaji.
Kwa HT sina hakika kama ukomo wake umefikia pale au anafanya uzembe kama wengi wetu tunavyo amini
Kimsingi NBA inawachezaji wengi sana na ushindani ni mkubwa kuliko maelezo na wanofanikiwa kung'ara ni wachache kuliko ambao wapo wapo NBA wakitegemewa kuonyesha kile wanachoaminiwa kuwa wanacho
SItaki wala sipendi kumuhuku HT kwa kutofikia kiwango cha juu kabisa cha kuweza kucheza games za kutosha wala si haki sana kumlinganisha na fulani sababu tunatofautiana uwezo
Cha msingi dogo akomae na nina. amini HT hajaridhika kama tunavyo dhani amepigana hadi kuingia NBA na sasa anapigana kupata namba, kama kuna Kobe alifanikiwa wiki moja its ok lakini wapo waliofanikiwa baada ya miaka hata 10 wakiwa bench NBA
Changamoto tumpeni lakini kejeli hazijengi, kudhani tu kuchaguliwa NBA ndio umemaliza kazi ni kujidanganya kuna ushindani pale jamani acheni utani, tumuombeeni kila la kheri dogo avuke mtihani huu maana kuna wengi sana wanaishi hapo pia
 
"Mwili wangu unashindwa kufanya yale akili yangu inayonituma kufanya, najiuzulu rasmi" By Ronaldo Dilima.
 
Sio mfatiliaji mzuri wa NBA. But design Hasheem anatakiwa ajitume sana mazoezini then kiwango chake kitakuwa juu kama kawaida.. Work hard.
 
Vyovyote ilivyo, point yangu ni kuwa, alipofikia Hasheem kaiweka Tanzania kwenye historia, hakuna aliye hata nusu tu NBA, labda kama wapo ni wafuaji jezi.

Tumuombee Mungu kijana wetu na tumpe moyo. Hakuna haja ya kumrushia kejeli na vijembe,

Kwani kuna faida gani kuweka historia mbaya?.,yaani ukumbukwe kwa kuwa the biggest flop in NBA history.,dogo ajitutumue bwana ili akumbukwe kama kina Dikembe Mutombo na Hakeem Olajuwon.,aachane kabisa na habari za kina Jokate hao ndio wanachangia kumlostisha halafu akifulia ndio watakuwa wakwanza kumnanga.
 
Kipaji ni kitu huwezi lazimisha na kina ukomo wake pia ingawa pia uzembe unaweza ukaathiri kipaji.
Kwa HT sina hakika kama ukomo wake umefikia pale au anafanya uzembe kama wengi wetu tunavyo amini
Kimsingi NBA inawachezaji wengi sana na ushindani ni mkubwa kuliko maelezo na wanofanikiwa kung'ara ni wachache kuliko ambao wapo wapo NBA wakitegemewa kuonyesha kile wanachoaminiwa kuwa wanacho
SItaki wala sipendi kumuhuku HT kwa kutofikia kiwango cha juu kabisa cha kuweza kucheza games za kutosha wala si haki sana kumlinganisha na fulani sababu tunatofautiana uwezo
Cha msingi dogo akomae na nina. amini HT hajaridhika kama tunavyo dhani amepigana hadi kuingia NBA na sasa anapigana kupata namba, kama kuna Kobe alifanikiwa wiki moja its ok lakini wapo waliofanikiwa baada ya miaka hata 10 wakiwa bench NBA
Changamoto tumpeni lakini kejeli hazijengi, kudhani tu kuchaguliwa NBA ndio umemaliza kazi ni kujidanganya kuna ushindani pale jamani acheni utani, tumuombeeni kila la kheri dogo avuke mtihani huu maana kuna wengi sana wanaishi hapo pia

Mkuu kumbuka huyu dogo wetu ana umri mdogo sana na anatakiwa kujituma katika hiyo age aliyo nayo wenzake waliingia wakiwa na age ndogo kuliko hiyo yeye anachopaswa ni kufanya workouts sana na sio mchezo sasa tatizo lake wakati wa mapumziko dogo anakuja Dar kula raha wakati wenzake wanajifua, check hao ma super star kama Lebron James ukiangalia jitu liko huko juu lakini workouts zake usipime sasa dogo wetu yeye ameridhika nini sasa hakuna wa kumshauriiiii watu wanajiuliza ni kulikoni au hana hama na hiyo game kajilazimisha au?

Career Season Averages
stats_header_lft.gif
YearTeamGGSMPGFG%3P%FT%OFFDEFRPGAPGSPGBPGTOPFPPG
09-10MEM681313.00.5880.0000.5811.32.33.60.20.21.30.632.383.1
10-11MEM4508.20.4360.0000.5430.51.11.70.10.20.30.381.621.2
10-11HOU202.00.0000.0000.0000.00.00.00.00.00.50.001.500.0
10-11--4707.90.4250.0000.5430.51.11.60.10.20.30.361.621.1
11-12HOU405.01.0000.0000.0000.30.81.00.00.00.50.000.751.5
Career--1191310.70.5570.0000.5700.91.82.70.10.20.90.502.032.2

Duh kiwango hiki hata KILI RBA huchezi, sanasana labda aimbe bongo fleva tu au aingie bongo movie
 
Mie namuombea kila siku afanye vizuri, awe fiti aweze kuitangaza Bongo, hata tukimponda tukifanya nini akirudi huku sie wote tume fail sio yeye peke yake! So Hasheem Brother keep it up
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom