Hasheem thabeet anatatizo gani kukaa bench (houston rokects)- nba

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF.

Nimekuwa nikijiuliza sana kwini kuna tatizo gani kwa huyu bwana mdogo toka aingie NBA mwaka 2009 alikuwa 2nd pick overall na Memphis Grizzlies na sasa yuko Houston Rockets performance yake ina utata sana kwa sie tunao fuatilia sana mchezo huo wa Basketball (NBA) sielewi ni kale kaugonjwa ka kichwa cha mwenda wazimu au ni nini? Bwana mdogo anakalia bench tuuuuuuuuu kulikoni??

Nime kuja na hii hoja ni juu kuibuka kwa kijana mmoja Jeremy Lin ambae anachezea sasa New York knicks alianzia timu ya Warriors na akaenda Houston Rockets. ambaye amefanya maajabu sana ndani ya week 2 Dunia sasa ina mtambua alipewa chance na akaitumia ndani ya week Moja tu aliongoza score NBA kwa wale wote walio join NBA mapema toka NBA ianzishwe. Na ni matumaini yangu Jeremy Lin anachaguliwa kuingia NBA All Stars for the first time this 2012,

Sasa sielewi kwa huyu mdogo wetu Hasheem kulikoni ni kudumaa kwa ubongo au yeye anajiona bado ni mtoto??

Hii inatuonyesha nini kwa wanamichezo wetu wa kitanzania???

Karibuni kutoa maoni yenu
 
kiwango mumanyi.

Teh teh teh dogo kwisha maaaan wa watu wa Clouds na IKULU ndio walikuwa wakimpambaga sana yuko wapi sasa dogo yaaani inauma saaana yani ukiona ma rookies wa NBA vingine ni vidogo vina pigaje game

[h=3]NBA statistics[/h]
Legend
GPGames played GS Games started MPG Minutes per game
FG% Field-goal percentage 3P% 3-point field-goal percentage FT% Free-throw percentage
RPG Rebounds per game APG Assists per game SPG Steals per game
BPG Blocks per game PPG Points per game
Bold Career high

YearTeamGPGSMPGFG%3P%FT%RPGAPGSPGBPGPPG
2009–10Memphis681313.0.588.000.5813.6.2.21.33.1
2010–11Memphis4508.2.436.000.5431.7.1.2.31.2
2010-11Houston202.0.000.000.000.0.0.0.5.0
Career
1151310.9.550.000.5702.8.1.2.92.3

Ndo basi tena. Si unajua wachezaji wa bongo ni wa msimu. Ukiona mtu yupo kwenye game miaka 5 ni bahati sana. Duuu ndo ashakuwa veteran katika umri wa miaka 25
 
Yaaani ni aibu tupu sie wabongo hovyo hovyo ndio kama yale ya Yanga watengeza nafasi 8 twapata goal 1 hii ni akili au ulimbukeni, na ndio haya ya Thabeet umejijenga muda mrefu unashindwa malizia mkia wa ng'ombe? naawambieni atarudi hapa home maskini kama hato jirekebisha na haya mavyombo ya habari hapa bongo yanavyo mpambaga akija likizo wakati wenzake wanafanya Workouts za hatari yeye anakuja Dar kula raha na vi miss yaaani ni aibu kweli huko USA umekosa msichana wa nguvu au huku Bongo umekosa msichana wa maana kweli.

Nyie watu wa CLOUDS FM mwambieni Dogo anapotea aamke sasa asituaaibishe

Kuna mnyama anaitwa kevin durant anakipiga oklahoma!nikimcheck huyu dogo anavyokimbiza na nikiangalia hasheem anavyochechemea NBA najisikia vibaya sana!!!
 
Kila binaadam ana kikomo chake, mlitaka kila mmoja awe kama Jordan au Kobe?

Alipofika Hasheem hakuna Mtanzania aliyewahi hata kunusa, kaweka historia kwa Tanzania anastahili kila pongezi. Kuwepo tu benchi la NBA si mchezo. Kuwepo NBA ni ndoto ya karibu kila mtoto wa kimerekani na Basket ni mmoja katika michezo inayopendwa sana US, seuse kuwa ni ndoto ya wengi duniani.

Hasheem, apongezwe alipofikia na kwa huu mchezo ulivyo, it takes only 5 minutes za kucheza na move moja tu ya maana kubadili muonekano. Tumuombee kila la kheri.
 
Mzee mbona kama umepanic?relax....
 
Mkuu kumbuka HT alikua 2nd overall pick katika NBA draft. Hivyo alionekana ni mtu wa caliber ya kina Mutombo; na kama ni mfuatiliaji wa NBA, HT alipewa nafasi kubwa sana ya kufanya yale aliyofanya Mutombo.
Hivyo kwa yanayomtokea sana ni "failure" mtupu. Na hili limechangiwa na uzembe wake mwenyewe.
Kama alivyosema mdau hapo juu, HT kaendekeza sana starehe na "kupiga bakora" wabongo; yeye wakati wa likizo anakuja "kuuza" bongo, wakati wenzake wanafanya workouts za nguvu katika kujiandaa na msimu ujao utafikiri ndo wanatafuta kuingia NBA!!

Hivyo husione kama watu ni "haters", hapana. Ila hapa tunajaribu kumkumbusha mdogo wetu ili aweze kuendelea kupeperusha bendera yetu vyema zaidi. Na ili aweke alama na historia katika NBA, kwamba kuna mtanzania alipata kucheza NBA na kufanya mambo makubwa.

Sasa kama unaona uwezo wake umeisha hapo, nafikiri unataka kutuambia kwamba alipochaguliwa kuwa wa pili katika NBA draft, ilikua na "fluke"!! Mimi siamini hivyo, naamini HT kama akiweka bidii na mkazo katika mazoezi na kujituma, ana nafasi wa kuweka alama yake NBA.
 
Vyovyote ilivyo, point yangu ni kuwa, alipofikia Hasheem kaiweka Tanzania kwenye historia, hakuna aliye hata nusu tu NBA, labda kama wapo ni wafuaji jezi.

Tumuombee Mungu kijana wetu na tumpe moyo. Hakuna haja ya kumrushia kejeli na vijembe,
 
Kweli HT kaweka historia; lakini tunataka aweke historia ambayo kufutika na kusahaulika kwake kutakuwa vigumu. Lakini ukiendelea kumjaza saifa kwamba kaweka historia ya kuwa kwenye benchi la NBA, nafikiri unakuwa haumjengi bali unamjaza kichwa. Kitu ambacho kesho na keshokutwa anaweza tokea bwana mdogo mwingine akaingia NBA pia (kuna bwana mdogo kapata ufadhili kule Canada, anaweza kuwa NBA hapo baadaye). Sasa hapo historia ya HT si itakua kama imefutika!!?

'Criticisms' kwa mtindo wa kejeli na vijembe uwa zinasaidia kumfanya mtu afanye bidii katika jambo ambalo anapigwa vijembe. Sasa kama bwana mdogo ni mtu mwenye kutaka kujifunza (hapa ndipo tatizo, kwani HT anaona yeye ni babkubwa, watu wakimshauri anawaona kama "haters") basi achukulie vijembe hivyo kama changamoto za kumsukuma katika kufikia kiwango ambacho anastahili kuwa.
 
Hasheem ana muda mwingi wa kufanya vizuri, walipomchukua walijua kuwa ni long term project. Sasa hivi Rockets wanacheza vizuri so hawawezi kumpa Thabeet muda na kuvuruga timu ili dogo apate experience. Kwa kifupi unless aumie au awe na nidhamu mbaya sana (hakuna habari yoyote ya kukosa nidhamu) Thabeet atakuwa NBA kwa miaka mingi ijayo, kwasababu ya urefu tu.
 
Hasheem thabeet, urefu wake utaendelea kumbeba NBA, ni mtu wa pili kwa urefu..Dogo anachonikera anajifanya hajua kiswahili vizuri.
 
Hamna k2 apo kwan ata NBA ameenda kwa ngekewa 2 km ndo underground mbona wakina cobe,jordan na wengine wengi walianzia chin af wakaweka rekodi ya dunia,ss iv anauza nyago u uko USA,yuko sab ya mwisho kwakuwa apend kufanya mazoez kocha anampa jezi za wenzie afue.
 
Yaaani ni aibu tupu sie wabongo hovyo hovyo ndio kama yale ya Yanga watengeza nafasi 8 twapata goal 1 hii ni akili au ulimbukeni, na ndio haya ya Thabeet umejijenga muda mrefu unashindwa malizia mkia wa ng'ombe? naawambieni atarudi hapa home maskini kama hato jirekebisha na haya mavyombo ya habari hapa bongo yanavyo mpambaga akija likizo wakati wenzake wanafanya Workouts za hatari yeye anakuja Dar kula raha na vi miss yaaani ni aibu kweli huko USA umekosa msichana wa nguvu au huku Bongo umekosa msichana wa maana kweli.

Nyie watu wa CLOUDS FM mwambieni Dogo anapotea aamke sasa asituaaibishe

Huyu Jamaa kwa mara ya kwanza ndio anakuja tz ktk usa direct alienda mjengoni kuna trax mbili nazikumbuka aliambiwa azichague yani mpaka leo nazikumbuka ndio nikaamua nizidownload hyo ilikua 2009.

Alichagua

1.Jeremih-imma star(Da akawa anachana kidogo kwamba I thought I told y'all imma star,I got ice uhh,usipime) ndio kipindi wimbo mpya upo kwenye chat lkn bongo ulikua haujahit bado.

2.Shop Boys-Party like rock star(remix) usipime yani nikisikia hayo mapini namkumbuka hasheem @ his best(yupo kwenye peak) sasa kachuja anachezea benchi tu.
 
Hasheem thabeet, urefu wake utaendelea kumbeba NBA, ni mtu wa pili kwa urefu..Dogo anachonikera anajifanya hajua kiswahili vizuri.

Kweli dogo ana muda na anaweza jirekebisha tu...hilo la kujifanya hajui kiswahili hata mimi nilishawahimsikia akihojiwa anakera sana
 
Ma staa wote wa Tanzania wanajifanya hawajui kiswahili, wengine (wengi wao) hata nyimbo zao zina accent ya swanglish. Si Hashim pekee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom