Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 127
Nini hicho,hebu tuelezee.Kama ni harusi hawa lazima wamefumaniwa sasa wamelazimishwa waoane,hawawezi nuna jinsi hii
Nani kanuna hapo kwenye picha? Kununa unakujua wewe?
Kama hao wamenuna na huyu dogo kafanyaje?
Tatizo ni kwamba tumekuwa so brainwashed na fake smiles kiasi kwamba mtu hawezi kupiga picha real.
Watu wanapooana, hususan kama hawajakaa a whole lot of time together (as it is supposed to be under the conventional mores) naturally kunakuwa na marriage anxiety, kuna watu hawana ma fake sophistication na calculations kusema kwamba hapa napiga picha ya ndoa ngoja ni crack a fake smile. Wanapiga na a neutral expression, sasa sie wengine tuliokuwa brainwashed kwamba a neutral expression is "kununa" kutokana na fake smiles za kimarekani (tukifikiri hiyo ni sophistication) ndio tunaokosa sophistication ya kuelewa kwamba this couple's supposed lack of sophistication is the real sophistication, because they take their wedding picture according to their values, not some western imposed Hollywood standard complete with the artificially whitened teeth, if not the botox.