Ulaya timu inapigwa faini, matokeo ya uwanjani yanabaki vile vile
Ulaya ya wapi!!!! Au huko mtaani kwenu kuna timu Inajiita Man City Au Ac Milan hivyo unajiona kama upo Ulaya!!!?Ulaya timu inapigwa faini, matokeo ya uwanjani yanabaki vile vile
Itakuwa ulaya ya sayari mpya hiyo!Ulaya ya wapi!!!! Au huko mtaani kwenu kuna timu Inajiita Man City Au Ac Milan hivyo unajiona kama upo Ulaya!!!?
Kuna madai ya Toto kupanga matokeo na Yanga..hili hawajalitolea ufafanuzi?
Ulaya timu inapigwa faini, matokeo ya uwanjani yanabaki vile vile
Hazungumzii Ulaya tunayoifahamu sisi, labda huko mtaani kwao kuna Timu inaitwa Ac Milan hivo anajua yeye anaishi Ulaya.Msimu huu Real Madrid walitolewa kombe la mfalme licha ya kushinda uwanjani kwa uzembe kama huo
Itakuwa Yanga walitoa pesa ili Azam imchezeshe Nyoni wapokwe point 3. Sio bure maana kila kitu ni Yanga. Teh teh teh
YawezekanaKwani ile sheria ya kuchagua mechi inawahusu mikia fc tu?
Unasemaje ati??unakumbuka kwanini real Madrid alitolewa kwenye copa del rey msimu huu?Ulaya timu inapigwa faini, matokeo ya uwanjani yanabaki vile vile