Harufu ya ubingwa yatawala Jagwani, TFF yaipora Azam pointi tatu

Ulaya timu inapigwa faini, matokeo ya uwanjani yanabaki vile vile
 
Ulaya timu inapigwa faini, matokeo ya uwanjani yanabaki vile vile

Ingekuwa hivyo timu kubwa ulaya zingewachezesha tu wenye kadi na kulipa faini baadaye. Labda ilikuwa hivyo zamani.

Ndiyo maana Kaburu alisuka mpango wa kuchagua mechi ya kutumika adhabu hali iliyowanufaisha Simba.
 
Wale wataalam wakizungu na wazawa walojaa
pale AZAM awana hata kumbukumbu za kadi???
Aibu
 
Simba tunashinda michezo yote iliyobaki na Yanga wanafungwa michezo yote,
Simba bingwa mpya msimu wa 2015/2016. #Hajji Manara
 
hukumu hii ilitakiwa kutolewa mapema kabisa na si kungojea zikiwa zimebaki mechi 3 ligi kuisha
 
Msimu huu Real Madrid walitolewa kombe la mfalme licha ya kushinda uwanjani kwa uzembe kama huo
Hazungumzii Ulaya tunayoifahamu sisi, labda huko mtaani kwao kuna Timu inaitwa Ac Milan hivo anajua yeye anaishi Ulaya.
 
Itakuwa Yanga walitoa pesa ili Azam imchezeshe Nyoni wapokwe point 3. Sio bure maana kila kitu ni Yanga. Teh teh teh

Teh teh teh teh, inawezekana uko sahihi, maana YANGA wanabebwa sana
 
Maamuzi ya TFF kuna vichwa maji watasema Yanga. Hahah

#HuuMchezoHauhitajiHasira
 
Mbona WAMAJARUBAN FC huko nyuma waliwahi kuwatumia wachezaji wenye kadi 3 za njano na sikuwahi sikia wamepokwa points kwa nin iwe kwa WAPIKA VITUMBUA ...huu ni uonevu wa juu haki haijatendeka kabisa hapo
 
Wakuu, hizo kadi tatu alizipata kwenye mechi zipi? Pana tetesi kuwa kadi ya kwanza alipata kwenye mechi ya ngao ya hisani!
 
Back
Top Bottom