Harufu chini ya uvungu /Kengele

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,090
Wataalamu wa magonjwa ya ngozi nisaidieni kila saa nasikia harufu mbaya kwenye mapu__u nuumetumia deodorant nikawashwaz sikupona, Dr?linambia dawa ya fungus Hydrocotizone na nivae chupi safi na ziwe mpya ktk Biology form 4 tulisoma kuna joto kali huko nisaidieni nashinda bafuni
 
Hydrocortisone siyo dawa ya fungus,you need to use with caution in delicate areas,tumia clotrimazole cream ni antifungal itakusaidia
 
Wataalamu wa magonjwa ya ngozi nisaidieni kila saa nasikia harufu mbaya kwenye mapu__u nuumetumia deodorant nikawashwaz sikupona, Dr?linambia dawa ya fungus Hydrocotizone na nivae chupi safi na ziwe mpya ktk Biology form 4 tulisoma kuna joto kali huko nisaidieni nashinda bafuni

Mkuu, fanya hima umuone "daktari" wa ukweli. Atakuchunguza kwa kukuulizia aina ya muwasho, unaanzaje, mida gani inaanza, inatumia muda gani kuwasha, etc etc HALAFU atachukua muda kuangalia vizuri sehemu yenyewe na kama inawezekana kufanya uchunguzi wa ki-maabara kabla ya kukushauri ufanye nini. Sio lazima ukapata nafuu haraka na kutegemeana na tatizo, anaweza akafuatilia kwa muda kidogo.

Epuka wanaojiita madaktari wanaokuambia tiba kwenye baa au njiani. Wapo madaktari wengi wa vyeti na wachache wenye ujuzi na hekima ya udaktari. Viwanda vya kutengeneza madaktari vya KCMC, SAUT, HK, IMTU, etc vinatoa wengi ambao wanaperform tofauti and mostly money minded (Hata wenye E mbili wanasomea udaktari siku hizi ili mradi uwe na pesa). Hata MUHAS inaanza kulegalega kwa sababu ya quality ya wanafunzi wanaojiunga na fani hii pamoja na namba kuwa kubwa zaidi ya uwezo wa miundombinu ya kufundishia ambayo imechakaa na kupitwa na wakati.

Nasubiri wanichune lakini tunawaona huku mitaani
 
Back
Top Bottom