Harmonize wimbo wa Yanga usingeimba singeli ungetoboa sana, hapa ni kama umecopy na kupaste tu

mbutamaseko

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
736
1,054
Ifike wakati washauri wa wasanii hawa wawaze nje ya Box. Kwanza kutumika tu na Yanga ni kuiga walichafanya Mikia (Simba) lakini Kama haitoshi na nyimbo uliotunga ni umecopy Kama sio kubadili tu maneno.

Huo wimbo wa Yanga ungeimba kwa mahadhi tofauti na singeli ungeenda mbali sana, Ila kwa uoichofanya hiyo ngoma itaishia tu uwanjani pale Kama ilivyoishia ngoma ya Domo.

Seba sijui anafanya kazi gani namuona anaruka ruka tu mtu mzima mambo ambayo wangefanya akina casmir. Hata Kama ilikuwa dhalura watunzi wapo wengi tangaza dili tukuandikie ngoma kali za kusherehesha.

Hapo utuzingua wananchi. Seba ni Mtaalam wa Biashara Ila hana sikio la Muziki kusikia ngoma kali kabla haijatoka ongeza wataalam kwenye team yako.
 
Aliskika akisema anashauliwa huko instagram ata majina kama tembo jeshi yanatoka huko
 
Katika ushabiki haswa wa mpira na vilabu vyenyewe vinavyojiendesha kiswahili angewatungia pop au r'n'b hiyo ngoma ingekua famba.

Since day one nyimbo za kusifia vilabu hapa Tz ama ni mchiriku au singeli kuanzia Azam, Yanga, Simba, Mbagala Market n.k. kwahiyo mzee hiyo ni kama culture
 
Kama unaweza kuandika nyimbo, si uandike then uimbe au umpe muimbaji mzuri ili tuone uwezo wako..!?
Btw utopolo hamna kitu, kila kitu hovyo tu!
IMG_1465.jpg
 
Kwahiyo ulitaka aimbe kwaya?
Singeli ndo inaamsha popo basi hata diamond kacopy kwa kina tunda man pia walianza kuimba zamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom