idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,316
Bila shaka imesikika vyema."Ongeza sauti kidogo"
Bila shaka imesikika vyema."Ongeza sauti kidogo"
Anajitembeza ili anunuliwe,Ukiona mtu anaandika topic kwa kirefu namna hii, basi ujue huyo ni CCM anataka kulazimisha kueleweka na kupinda maneno. Points ni short and clear
Kwikwikwivyama vilivyozeeka
Hile sumu ya mangula ilikua kategwa member lkn kwa ujasusi wake member akaushtukizia mtegoKwani mlipo mpiga Risasi Tundu Lissu ndio ulikuwa utawala wa Sheria? Na mlipo muua Alphonce Mawazo, Azori, Ben Saanane mlikuwa mnafuata Katiba?
Au mlipo waengua wagombea wote wa upinzani ktk serikali za mitaa mlikuwa mnafuata sheria?Au mlipo muwekea SUMU Mangula mlikuwa mnafuata sheria?
Mataga tulieni tuu msumari hutolewa pale pale ulipo ingilia.
Kwahiyo Tangu mwaka 1961 mpaka Leo bado kampeni yenu ni maji na umeme na bara bara tu kweli nyinyi hamuna akiliHizo Ni porojo wananchi wanataka maji barabara umeme,
Yawezekana alitonywa akabadilisha glass fasta...!!Hile sumu ya mangula ilikua kategwa member lkn kwa ujasusi wake member akaushtukizia mtego
Wananchi gani wanaotaka maji? Hao mliowaua - akina Ben, Azory, n.k?Hizo Ni porojo wananchi wanataka maji barabara umeme,
"Kitendo cha kukodi gari la matangazo kupita mitaani kuhamasisha watu, kuandaa jukwaa na kuhutubia kwa zaidi ya saa nzima huku ukijitapa namna serikali yako itakavyokuwa na kujaribu kukosoa serikali iliyopo madarakani ...."
Sheria gani unayoiongelea wewe, maana THE NATIONAL ELECTIONS ACT, CAP. 343 (R.E. 2015) kifungu cha 31 hakiongelei unachokisema hapo juu. Kinasema ...
"31. Number of nominators In order to be validly nominated to stand as a Presidential candidate, a person must be nominated in writing, by not less than two hundred nominators who are registered voters for the purpose of elections under this Act from each of at least ten regions of the United Republic, out of which at least two regions are in Tanzania Zanzibar. "
Waambie manyumbu wenzio watulie waendelee kupata dozi upepo wa Lissu mwaka huu..View attachment 1537053
Achilia damu hata mkono hautamwagikaCCM acheni wivu wa kike; hizo dk 30 mpaka 60 zinawapunguzia mini? Mbona ninyi mmehutubia miaka 5 hatujawahi kuwazuia, acheni watanzania wawasindikize wagombea wao, so mnataka waende peke yao muwateke!!
Hamna hoja mpya zaidi ya ndege na madaraja...tunataka kusikia wengine wanasemaje !!
Uchaguzi ushaanza kuwa na harufu ya damu!!
Hii ni Rwanda, Burundi Sudan Kusini....ni vita sasa!! Its Survival for ur fitness.!! Kama hatua za hekima hazitachukuliwa haraka!!
Aliyefata malisho nchini kwetu atokuwa na amani ni Hadi aone tumesambaratika kabisa ndugu zake washaanza vurugu na rafu kunapoelekea uchaguziMara nyingi vyama vilivyozeeka huwa haviondoki kwa amani madarakani, mpaka vihakikishe vimemwaga damu ya wananchi wake.
Na ni nadra Sana kuja kushika madaraka tena.
Ni kweli ndio maana ukimuona Simba mzee ujue amekwepa mishale mingi.Mara nyingi vyama vilivyozeeka huwa haviondoki kwa amani madarakani, mpaka vihakikishe vimemwaga damu ya wananchi wake.
Na ni nadra Sana kuja kushika madaraka tena.
Mjimga weweKuwakusanya waumini na viongozi wa dini (TAG) na kuwaandikia hotuba ya kusifia serikali yako ni sawa kwa kipindi hiki cha uchaguzi??