Harakati za kungoa CCM Korogwe Mjini

Mbiu

Member
Dec 9, 2012
27
2
Wadau nimeanza rasimi sunami ya ki- CHADEMA kungoa fikra na tawala za kifalme katika jimbo la Korogwe Mjini na wakati huo huo kusupport Kamanda atakaye peperusha jimbo jirani la huyu mganga wa kienyeji Korogwe vijijijni. Natarajia support na ushauri.............in new active politics from 1st January 2013
 
Thanks wadau pia unaweza kudondosha ujumbe at .....mwanawakorogwe Facebook page
 
ccm waliaminishule za Kata zingetugawa na kututawala kilaini badala yake huu ni mtaji wa kuwatoa madarakani haraka tuna aanza na serikali za mitaa na vijana hawa watakuwa sehemu ya utawala bora na mipango ya kimapinduzi regards
 
Back
Top Bottom