Happy Friday Mashost na ma sweetheats.....

Njoo basi na wewe aarghhhh hicho kibabu kitakuzeesha bana kitakufanya uwe:sick::sick::sick: shauri zako ngoja mimi niende zangu kwa dorin

Mhhh kijana sikuwezi mara Dorin tena.?? Afrodenzi umeachana nae siku hizi au nimesahau??
 
Wapenzi nawatakia Ijumaa njema na weekend yote kwa ujumla nadhani itakuwa njema sana hasa nikiangalia ndio mwisho wa mwezi wenyewe kwa wale wenzangu walio katika ajira na wale mabiziness man /women ndo mnafanya monthly stock taking..
1.Msisahau family zenu mkazamia Bar na kurudi home mifuko tupu.
2.Msiache kina Eliza wakatumia feza mpaka mifuko ikakung'utwa
3.Kunyweni kwa afya na si kwa mashindano
5.Make sure watoto wanafurahia weekend na baba na mama
6.Wale ma Infiiiiiii ..kumbukeni kutumia Protection lile janga likiingia ndo limeteketeza family na kuacha watoto wanateseka
7.Tafadhari tusiache kutoa zaka Maana tutakuwa tunaomba mungu atupe mafanikio na tunayapata lakini sifa na utukufu tunashindwa kurudisha kwake

23.gif

Love u all

FL1 thanks nami nakutakia vivo hivyo.

Lakini hapo kwenye red nimepata ujumbe mfupi sasa hivi kuwa anasafiri kikazi sasa sijui ya kweli hayo?

Furaha za weekend iliyopita zimezimika ghafla.:A S 20:
 
FL1 thanks nami nakutakia vivo hivyo.

Lakini hapo kwenye red nimepata ujumbe mfupi sasa hivi kuwa anasafiri kikazi sasa sijui ya kweli hayo?

Furaha za weekend iliyopita zimezimika ghafla.:A S 20:


hahahaha Lily Flower atakuwa anasafiri kweli bana ondoa hofu na mashaka,kwa raha zako enyoy ur weekend
Utaniazima hivyo viatu nimechishe kwenye anivesali yangu ya miaka 18
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom