Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
sasa wewe mbona nakusemesha pale hunijibu
au mpaka nianze na pls to meet you Asprin??????my name is FL1
aaa..
Afu wewe unajua una kesi ya kujibu? Hebu twende kule tukaongee.
sasa wewe mbona nakusemesha pale hunijibu
au mpaka nianze na pls to meet you Asprin??????my name is FL1
aaa..
asante mpenzi kwa wasia mzuri. ubarikiwe sana
halaf kaiza cijui umekuwaje ciku iz
ile makitu bado natembea nayo kwenye tukutuku unajua....?!
Ndugu yangu wa ukweli unanitenga sana....au Mvinyo mpya ndio sababu??
valium
Aisee Dseidii....mimi ni uji au mgonjwa hapo?
Afu wewe unajua una kesi ya kujibu? Hebu twende kule tukaongee.
Amka saa kumi na Moja piga Dicloper Moja. piga usingizi saa moja. Hangover hapo inakua storry
Asante mutoto muzuri ee angalia kina Asprin wasikudanganye ,,uwe na weekend nzuri
Kha! kumbe leo Furahi day!! Asanteh Shosti. Ngoja nitoe kabisa order ya K.moto pale Didis
Aisee FL1 mbona huji kule? Nna mazungumzo na wewe.
Niongeze na mimi kwenye list
Nilishajaribu kweli kabisa ila nilikunywa diclofenac. Hii experience ni nzuri sana
???????????????????????
Babu unatafutwa kwenye Gmail kule....Desidii am watching.........!
Desidii am watching.........!
Kwa kupandia daladala katikati hujambo
I warned you
Tatizo la huyu Babu Usharobaro mwingi mnoBabu unatafutwa kwenye Gmail kule....