Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,210
- 42,072
kichwa cha moyo!eeeh rutttashobolwa......na hapo nimekushtua wapi tena???
kichwa cha moyo!eeeh rutttashobolwa......na hapo nimekushtua wapi tena???
kichwa cha moyo!
tobaaa yarabbi!
moyo una sehemu ngapi!?!?! vile mpaka nizimalize zote ntakuwa namie nimeshtuka kwa kweli.....sa sjui itakuwa hapo na mie nikianza kushtuka!!!?!?!?
ndio penyewe
teh teh teh teh lol
kuna gym asubuhi na mapema (1st one)
kuogaa badili ajili ya kwenda kazini (2nd)
jioni kuoga kubadili , after work (3rd)..........
owk now I understand... smart guys always do dat!
na kama Mr. akiwa anahuzuni, mawazo au uchovu kidogo muhimu kumpa" lingerie show"
tushtuane bhaaaaaasssssss.......