happy Chupi day!

mmmh...kuna watu huwa awavai kabisa,siku kama ya leo itumike kuwahamasisha wale wasiopenda kuva pichu,....yaani mimi nashanga inawezekanaje kitumbua kukaa wazi?dah...dunia ina watu kwel..,

:biggrin1: joto lote hili wavae za nini wacha zipigwe upepo afu wale ambao hawavai ndio wanakuaga watamu zaidi:A S 465:
 
Hivi hiki kinguo Bado raia wanakivaa.. Boxa sio chup* .. Siku ya wavaa boxa ni keshokutwa.. Wanawake huvaa skntt..
 
kuiga iga wazungu ndio maana ******* wanaongezeka kila kukicha tz.....
angalizo:****** ni jina lilalowatambulisha wale wanaofanya mapenzi ya jinsia moja na sio tusi
 
chupi ndo nini?
Hapa hatukuvaa chupi, ushaelewa sasa??
13538726.jpg
 
Hivi,Kazi ya chupi ni nini?
Ukivaa haijulikani,usipovaa haijulikani, Ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukiwa uchi utasikia hajavaa chupi, Sasa ya nini?
 
Back
Top Bottom