Pole sana mkuu.HBD Prof Janabi ulimsaidia Baba yangu kuongeza siku za kuishi RIP Baba tutaonana baadae.
Zinasaidia kuongeza stress hatimaye unapungua uzito
Asante sanaPole sana mkuu.
Kuwa serious mkuu hata maji?Ila Mzee anatupiga spana huyu Kwa kifupi hataki tule kila kitu ata maji juzi juzi katukataza tusinywe hahaha
Happy birthday mtaalamu namkubali huyu Mzee sana
juzi juzi alisema msinywe maji mengi kupita kiasi bila sababu 😂😂😂Kuwa serious mkuu hata maji?
🤣🤣🤣 Huyu prof. Sasa Sina Imani nae daah!!juzi juzi alisema msinywe maji mengi kupita kiasi bila sababu 😂😂😂
nipo nawaka time hii na mitungu na Hana cha kunifanya 😂😂
Kwani huyu mzee ni mumiani(nyonya damu)Damu ya JPM
Hebu tufafanulie hili suala la madhara ya kunywa maji mengi Kama unaufahamu naloHappybirthday to Him.
Mzee namkubali sana ila Wabongo watakuja kumuelewa badae sana ila anachosema ni kweli
Huyu ndiye aliyekuwa daktari wa JPM?Leo ni siku ya kuzaliwa nguli wa Tiba za kisayansi za mwili wa binaadamu hususani moyo na figo si mwengine ni professor MOHAMMED YAKUBU JANABI
LONG LIVE MZEE you really helped our country and society
Tunakupenda Sana professor Janabi
Happy birthday hope
Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
Wenye akili zetu tumekuelewa. Sema tu ametudhulumu maisha yetu watanzania.Kuna kitu ningesema ila acha nikae kimya
Huyu Mzee katupiga na kitu kizito sana wa tz