Happy birthday Mama Salama Kikwete

Naona mkwere age inachapa mwendo kwa spidi ya ajabu, halafu hii bday clouds hawakuhusika eheee?????? lol!!!!!!!

Viongoz we2 hawajuw kama kifo kipo. NDIO mbna wanakuwa wez. Waongo... MWachen JK azeeke, kila k2 kna mwsho, akam8tme Castro CUba au MOHAMED ALI USA
 
malaria sugu ndio mwandaazi mwandamizi a.k.a mpishi mwandamizi wa mama salma hata hiyo keki kaandaa yeye anaonekana kwenye picha nyuma kulia.
 
ni vizuri kufurahi for some times maana siku ya kuzaliwa nayo ina umuhimu wake kwa kuwa unabadili mwaka hongera sana first lady.
 
Huyo njemba wa pili kushoto baada ya babu hana adabu, anatuma msg kwenye simu wakati kikwete anapiga gitaa, alitakiwa aimbe na naona Salma kamkata jicho kweli.... Baada ya birthday udereva wa watoto ndio mwisho.

Salma she is very beautful, why Pres has another..........?
 
Happy B Salma...

Mbona Mkuu wa Kaya anazeeka vibaya?

Hii extended family mbona kama ya Manzese vile?
 
Naona mkwere age inachapa mwendo kwa spidi ya ajabu, halafu hii bday clouds hawakuhusika eheee?????? lol!!!!!!!
cLOUDS NAONA WANAMUNG'UNYA ANTIVIRUS YA SUGU SAA HII

KWELI JK MSANII... GITAA LIMEMKAA KAMA VILE MAREHEMU ABEL BALTAZAR....

KUANZIA LEO AKIITWA MSANII NI SAWA TU
 
Hii extended family mbona kama ya Manzese vile?[/QUOTE]

Best umeonaa eeh, hawajakaa kifirst family, hasa hawa wa upande wa kushoto nadhani watakuwa walishtukizwa kutoka Msoga haraka haraka manake huyo mama kasuka twende kilioni na jamaa anatuma msg kuaga home manake alikurupushwa gari ya ikulu isije kumuacha....
 
Lakini swali ni kwamba Jk anachekelea umri wa mkewe kuongezeka au anafurahia jinsi alivyomwibia kura Dr Slaa?
 
VP KIBONDE na MR LADY JAY D hamkupata news za hii shuguli nini maana jana mngebwabwaja sana kwenye hilo jahazi lenu.
 
rais rahisi rahisi..mwizi wa kura mkubwa, Jei Kei NAKUCHUKIA NA SIKUPENDI MPAKA KABURINI! NISHAKUUA KIMAWAZO, PAMBAF
 
rais rahisi rahisi..mwizi wa kura mkubwa, Jei Kei NAKUCHUKIA NA SIKUPENDI MPAKA KABURINI! NISHAKUUA KIMAWAZO, PAMBAF
 
Very simple and modest... jamani wangefanya Bday party Kempinski tungesemaje?
Masuala ya familia hayo.

Hongera sana mama Kikwete!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom