Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,405
- 4,765
wajinga wote walizaliwa tarehe hii
We mjanja ulizaliwa lini
wajinga wote walizaliwa tarehe hii
Heee....... Lazima niende makumbusho nami nikajiweke kwenye makumbusho ya taifa kwakuzaliwa mwezi na tarehe ya peke yangu nchi nzima.
pacha wa ukweli afu mangi mwenzangu safi sana....hiyo tarehe na mwezi,wanazaliwa watu hodari na wenye uwezo mkubwa wa kufikirifratenal twin!
Mbona mimi tarehe zangu sizioni
kabebii umezaliwa tar ngapi kwani?
Npo mkuu 25 dec
decambre 24 hapa!
Nawatafuta Germin 07/june