Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Happy birthday bro!
thakns a lot ..pamoja sanaa
Happy birthday bro!
Mbona amesha patikana sasa?:A S 12:
tena wanatesa makusudi kuniumiza
Hongera Mkuu!
Kila la heri kwa siku hii adhimu
Na nyengine zote maishani.
Uishi maisha marefu
Yaliyobarikiwa Afya na Furaha.
Happy Birthday Saint Ivuga.
this is about the increament of ur age mkuu so me beibe on behalf my hun jg tunakutakia birthday njema na yenye baraka tele
Ivuga huyu huyu? Dah kwasababu today is his BIG DAY ngoja tuichunie.. Kesho itabidi kumweka kikao..
jamani mbona mwataka kuharibu sikukuu tenaa. lol!!Ah, mi nimempisha replacement roho safi kabisa
She is CUTE, polite na kwa kweli hata mimi naona...
jamani mbona mwataka kuharibu sikukuu tenaa. lol!!
mtakatifu, hapa shughuli ipo kweli? Hebu yawekeni sawa kwanza huko ukumbini, waalikwa na mikadi yetu tunasubiri nje ya ukumbi kwanza!
Tunaogopa timbwili la kurushiana chupa.
jamani jamani khaa!
Kuharibu nini Saint Ivuga? mbona mambo yako wazi?jamani mbona mwataka kuharibu sikukuu tenaa. lol!!
Wiiiiiiiiiiivu!!!!!!!!!Sasa mbona Ivuga mwenyewe haji jamani,
Au yuko busy na yule replacement wangu?