Happy Birthday Ivuga

jamani mbona mwataka kuharibu sikukuu tenaa. lol!!

Mtakatifu, hapa shughuli ipo kweli? Hebu yawekeni sawa kwanza huko ukumbini, waalikwa na mikadi yetu tunasubiri nje ya ukumbi kwanza!
Tunaogopa timbwili la kurushiana chupa.
 
large_birthday_boy_cake_toy.jpg GFB_12_BRR10106_CNF72321_W1_SQ.jpg 1073689673_85ff587481.jpg
haja wakatajii na wagawajii Mwali,afrodenz.charminglady
 
Mtakatifu Saint Ivuga nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Ndo umefikisha miaka kumi na ngapi vile?........ Ukifikisha 20 tafazali niambie.

Afu we Mwali hii makitu umeirusha saa sita kamili usiku. Muda huu wanafunzi mnatakiwa muwe mmeshalala. Hukulala kwa mawazo ya mtakatifu au ulikuwa prep?

Mapenzi ya namna hii nayapendaga sana. Sijui kwanini mie sipendwagi?

Hivi leo ni jumangapi vile? ngoja nikazimue.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom