Happy birthday Hon. Mwigulu L. Nchemba: Hizi ni salamu zangu kwako!

Status
Not open for further replies.
Mwigulu ni JEMBEEEEE pale mjengoni kila akisimama utasikia CDM wote wanamtizama na kusikitika utadhani kuna msiba, kumbe jamaa haogopi kuwaambia ukweli. Mwigulu ni sawa sawa na CDM wote bungeni
Kama yeye jembe ilikuwaje wakamgaragaza kule arumeru na bungeni kafutishwa kauli zaidi ya mara mbili japo spika anambeba lakini kachokwa mpaka na magamba wenzie! Gamba wewe usie jitambua mwigulu ndo kwanza anakipeleka ccm kaburini ukitaka kuamini angalia budget anayochangiaga mwigulu huwa ni ya upinzani leo unamwita jembe?sisi tunamuona mwigulu ni shamba la kulimwa na chadema na kuvuna urais mwaka 2015
 
jamaa ana mipasho ile mbaya
sijui mnaonaje tukimuombea nafasi ya kuimba taarab kwa mzee yusuph au kwa khadija kopa.
then anasahau ya kuwa 2015 ni karibu sana na wananchi watamuhukumu kwa maneno yake ya mipasho.
usichukie chemba hizo nami ni salamu zangu kwako,nikipata nauli nitakuja mjengoni kukuona.
 
Hii ni miaka ya kuforge, si alirudia darasa nasikia! Itakuwa ni 33 plus miaka ya ukweli
 
mwigulu ni jembeeeee pale mjengoni kila akisimama utasikia cdm wote wanamtizama na kusikitika utadhani kuna msiba, kumbe jamaa haogopi kuwaambia ukweli. Mwigulu ni sawa sawa na cdm wote bungeni
nadhani ni jembe kabsaa kwa jinsi anavyoshikwa ugoni na akina dada zako kila kukicha
 
I would like to dedicate ths birthday song to the birthday boy!
No offense! I jus thought tht the song was funny
 
Last edited by a moderator:
Pia uache uzinzi na uchizi. Kila siku unafumaniwa ukiachia mbali kujipayukia hovyo. You are still a kinda of a boy that needs to be taught many things, kama nitaazima lugha yenu vijana. Muhimu jua kuwa aliye juu mngoje chini. Isitoshe hiyo ni CCM. Waulize akina Masauni Yusuf Masauni walikuwa wapi na waliishia wapi na vipi mwanangu.
 
IMG_8168.JPG


Yuleeeeeeee Anatoa Mawaidha Mpirani ndio Maana bungeni yuko Kimya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom