Happy Birthday bestito Mentor

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,462
Habarini wanajamvi.

Nyakati zinasonga sana , miaka inakimbia na miezi hata siku zinakaribia hii yote inaonesha kuwa tunasogea kwa hatua kukua kimo na kiakili Kwanini mabestio nasema hivi kwani leo ni siku special kwa laziizi wangu Mentor aliyekuwa nami wakati raha na shida pindi kile nilipokuwa yumkini Yeye alikuwa karibu yangu hasa wakati wa mabondeni na wakati milimani alikuwa pamoja nami.

Ingawaje uko mbali nami laaziz wangu Mentor acha nikupe neno hili moja Kuwa nakutakia Heri na fanaka na afya njema katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwao,basi marafiiki na wadau wote wa hapa njooni tumtakie heri kipenzi cheti mwenye bakshasha la utunzi wa mashairi yenye ukinzani si mwingine ni Bestito Mentor Mungu ampe maisha marefu akue katika kimo chote. na hekima iwe juu yake

Wasalaam Ladyf

attachment.php

pokea zawadi hii toka kwa ex-wife wako ladyf

cc: Mtambuzi, Paloma, KakaKiiza, MANI, miss chagga, sister, miss neddy, Munkar, Erickb52, LiverpoolFC, Arushaone, kabanga, mshanaJr, Excel, Preta, Mwanyasi, mwaJ, charminglady, Lady doctor, Passion Lady, watu8, measkron mumy, Miss Bantu na marafiki wengine kibao njoweni tum wish best yetu.
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    8 KB · Views: 667
Happy Birthday Bro Mentor.

Tuna furaha kuwa miongoni mwa waliobahatika kukusikia ukiwa katika ubora wako kwenye, Hekima na Busara, maarifa, burudani na mengineyo mengi.

Tunakuombea uzidi kupata Kibali mbele ya Mungu na wanadamu, Uwe na familia bora, Utajiri, Afya njema na ulinzi na zaidi sana uzidi kumiliki na kutawala katika yoote utayopewa.

Hongera sana Kaka Mkubwa. Cheers.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaaaaaaaaaaaa umenifurahisha best

ni vyema ufurahi na anayefurahia na huhuzunike na anayehuzunika pia
huo ndo msingi wa maisha tuyaishyo bestito - karibu

na sijui umejuaje mlango wa hapa mmhm sikuwezi mie

unayaweza Bestito
 
Hongera sana Mhe. Mentor

Usisahau kumshukuru MUNGU aishiye aliyekukirimia huu uzima toka mimba yako ilipotungwa. Najua ukitazama nyuma utagundua wengi wameishia njiani, swali la kujiuliza je ni wewe uliyeumba pumzi kwahiyo una mamlaka nayo au ni kwa rehema tu za MWENYENZI MUNGU leo unaishi.
 
Last edited by a moderator:
mbona kifute cha like hakipo nilitaka kukulike umeongea point njema sana best
yani ila pokea likeee hizi hapa i.jpg
Happy Birthday Bro Mentor.

Tuna furaha kuwa miongoni mwa waliobahatika kukusikia ukiwa katika ubora wako kwenye, Hekima na Busara, maarifa, burudani na mengineyo mengi.

Tunakuombea uzidi kupata Kibali mbele ya Mungu na wanadamu, Uwe na familia bora, Utajiri, Afya njema na ulinzi na zaidi sana uzidi kumiliki na kutawala katika yoote utayopewa.

Hongera sana Kaka Mkubwa. Cheers.
 
Happy Birthday Bro Mentor.

Tuna furaha kuwa miongoni mwa waliobahatika kukusikia ukiwa katika ubora wako kwenye, Hekima na Busara, maarifa, burudani na mengineyo mengi.

Tunakuombea uzidi kupata Kibali mbele ya Mungu na wanadamu, Uwe na familia bora, Utajiri, Afya njema na ulinzi na zaidi sana uzidi kumiliki na kutawala katika yoote utayopewa.

Hongera sana Kaka Mkubwa. Cheers.

amen....kwa naiba yake.....
 
Mentor unaadhimisha mwaka mpya pamoko na huyu wa kuitwa

Gianluigi GIGI Buffon
images
 
Last edited by a moderator:
Invisible kama umenielewa naomba urudishe huu uzi kule MMU sio wa huku nilivyoweka kule nilikuwa na maana yangu
kwaniini mnapenda kumuvuzisha tredi zangu kiasi hichi kwani mm sifai kuweka uzi kule mbona wengine hamuwamuvuizishi
pls pls naomba mrudishe kule huu uzi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom