Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,755
- 71,953
Siku kama ya leo miaka 72 iliyopita alizaliwa mzee kijana,kipenzi chetu,mwanaume pekee aliyewahi kuuteka moyo wa Sky Eclat Asprin teh!
Nami nichukue nafasi hii katika siku ya leo muhimu kukuwish uendelee kuishi kwa amani,mafanikio na afya tele
Mwenyezi Mungu aendelee kukuweka mzee wetu(kama ni kweli una 72) uzidi kuona vijukuu
Happy birthday babu from another parents
I 💕 Asprin